Balozi wa Tanzania katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo,Said Mshana, amempokea Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika, Moussa Faki Mahamat, aliyewasili nchini Tanzania alfajiri ya Februari 8, ...
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Shinyanga, imewataka majaji, mahakimu na mawakili kutokuwa chanzo cha migogoro ndani ya jamii, kutokana na baadhi yao kudai kutotoa maamuzi yasiyo ya haki kwenye ...
Mitazamo hiyo inakuja katika kipindi ambacho, Tanzania imekuwa mwenyeji wa mikutano kadhaa inayokusanya maelfu ya wageni wa kimataifa. Hata hivyo, hatua ya kuwepo kwa mikutano hiyo si bahati mbaya, ...
Dodoma. Bunge la Tanzania limeazimia Serikali ihakikishe mifuko ya hifadhi ya jamii isimamiwe ipasavyo katika kuhakikisha uwekezaji unaofanywa ni wa tija na unaendana na michango. Bunge limeazimia ...
Serikali ya Sudan inatarajiwa kuundwa mara baada ya kuudhbiti mji mkuu Khartoum, duru za kijeshi zimeliambia shirika la habari la REUTERS siku ya Jumapili, siku moja baada ya mkuu wa jeshi Abdel ...
BBC haihusiki na taarifa za kutoka mitandao ya nje. Soma kuhusu mtazamo wetu wa viambatanishi vya nje.
Maelezo ya picha, Tareq, mvulana wa ki-Palestina mwenye umri wa miaka 10, ameketi juu ya rundo la vifusi huko Gaza, akiwa amevalia suruali ya dangirizi, sweta na mkoba wa manjano. 10 Februari 2025 ...
Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Wahandisi nchini wametakiwa kufanya kazi kwa kuzingatia maadili, nidhamu, na uwajibikaji ili kuhakikisha taaluma hiyo inatoa mchango stahiki katika maendeleo ...
Fungua habari zote, podcasts na video kutoka maktaba za Mashariki ya kati ya RFI tangu mwaka 2011 ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results