Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Emanuel Tutuba amesema Noti Mpya za Tanzania zenye saini ya Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Lameck Nchemba na yeye mwenyewe, za toleo la mwaka 2010, zitaingia kwenye ...
Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Victoria Mwanziva ameongoza wananchi wa Kata ya Nangaru- Lindi Manispaa kwenye zoezi la uchimbaji wa misingi ya majengo ya shule mpya ya Sekondari ya Amali ambayo inapewa jina ...
Rais wa mpito wa Syria ... wa Qatar yaligusa ujenzi mpya katika nchi hiyo iliyoharibiwa na takriban miaka 14 ya vita vya wenyewe kwa wenyewe. Tofauti na nchi nyingine za Kiarabu, Qatar ...
KATIKA gazeti hili leo ipo habari kuhusu maelekezo ya Ofi si ya Rais, Tawala za Mikoa ... usafi binafsi wa wanafunzi, walimu na watumishi wengine. Kutokuwapo maji ya uhakika ni kikwazo kwa mazingira ...
Sheria mpya za Israel zinazopiga marufuku Shirika la Umoja wa Mataifa la msaada kwa wakimbizi wa Kipalestina, UNRWA, zilitarajiwa kuanza kutumika leo, zikileta mabadiliko makubwa katika shughuli zake ...
The story of Pretoria-born photographer Ernest Cole, who died in exile 35 years ago with one book of photographs and little else to his name, is still being recovered. The methods of this recovery ...
Kamanda huyo mpya wa kikosi cha MONUSCO ana uzoefu wa miaka 35 ya kuchukua hatua kwenye majanga, menejimenti ya mizozo na ulinzi wa amani. Kwa mara ya mwisho ndani ya Umoja wa Mataifa alikuwa Mkuu wa ...
Hatua hiyo ya Israel inakuja baada ya kundi la Hamas kutangaza kuwa litawaachilia huru mateka wengine watatu zaidi, akiwemo raia mmoja wa kike, kufikia mwisho wa mwezi huu. Picha za video ...
Calves of the endangered Masai giraffe and other juvenile African wildlife are being illegally exported from Tanzania to the Sharjah Safari in Al Dhaid in the United Arab Emirates (UAE ...
Umati ulikusanyika jijini Jerusalem jana Jumamosi ulionyesha kufurahia kuachiwa kwa wanajeshi wanne wa kike mapema siku hiyo waliokuwa wanashikiliwa mateka. Israel ilipanga kuwaachia wafungwa 200 ...
Waasi wa Houthi wa Yemen wamewaachilia huru siku ya Jumamosi wafungwa wa kivita wapatao 153. Hii ni sehemu ya juhudi zao za kupunguza mvutano baada ya kufikiwa kwa makubaliano ya kusitisha ...
Freeman Mbowe, ambaye amekuwa Mwenyekiti wa chama hicho kwa kipindi cha miongo miwili, kupitia mtandao wake wa X zamani ukiitwa Twitter amempongeza mrithi wake na mkamu wake wa zamani Tundu Lissu ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results