Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Emanuel Tutuba amesema Noti Mpya za Tanzania zenye saini ya Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Lameck Nchemba na yeye mwenyewe, za toleo la mwaka 2010, zitaingia kwenye ...
Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Victoria Mwanziva ameongoza wananchi wa Kata ya Nangaru- Lindi Manispaa kwenye zoezi la uchimbaji wa misingi ya majengo ya shule mpya ya Sekondari ya Amali ambayo inapewa jina ...
ISRAEL : SERIKALI ya Israel imewaachilia huru wafungwa 183 wa Kipalestina, muda mfupi baada ya Wanamgambo wa Hamas kuwaachilia huru mateka watatu wa Israel mapema leo Jumamosi. Hatua hii ya ...
Rais wa mpito wa Syria ... wa Qatar yaligusa ujenzi mpya katika nchi hiyo iliyoharibiwa na takriban miaka 14 ya vita vya wenyewe kwa wenyewe. Tofauti na nchi nyingine za Kiarabu, Qatar ...
Kamanda huyo mpya wa kikosi cha MONUSCO ana uzoefu wa miaka 35 ya kuchukua hatua kwenye majanga, menejimenti ya mizozo na ulinzi wa amani. Kwa mara ya mwisho ndani ya Umoja wa Mataifa alikuwa Mkuu wa ...
Hatua hiyo ya Israel inakuja baada ya kundi la Hamas kutangaza kuwa litawaachilia huru mateka wengine watatu zaidi, akiwemo raia mmoja wa kike, kufikia mwisho wa mwezi huu. Picha za video ...
Calves of the endangered Masai giraffe and other juvenile African wildlife are being illegally exported from Tanzania to the Sharjah Safari in Al Dhaid in the United Arab Emirates (UAE ...
Amesisitiza mfumo huo mpya utapunguza kwa kiasi kikubwa muda wa uingizaji na utoaji bidhaa sanjari na gharama zisizo za lazima. Akiuzungumzia mfumo huo, Rais wa Chama cha Mawakala wa Forodha Tanzania, ...
Waasi wa Houthi wa Yemen wamewaachilia huru siku ya Jumamosi wafungwa wa kivita wapatao 153. Hii ni sehemu ya juhudi zao za kupunguza mvutano baada ya kufikiwa kwa makubaliano ya kusitisha ...
Freeman Mbowe, ambaye amekuwa Mwenyekiti wa chama hicho kwa kipindi cha miongo miwili, kupitia mtandao wake wa X zamani ukiitwa Twitter amempongeza mrithi wake na mkamu wake wa zamani Tundu Lissu ...
Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba (kushoto) na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emanuel Tutuba wakionyesha mfano wa noti mpya za Tanzania zitakazongia kwenye mzunguko kuanzia Februari mosi, ...
Tanzania has confirmed an outbreak of Marburg virus disease following the identification of a positive case in the north-western Kagera region. President Samia Suluhu Hassan announced it during a ...