Uwezekano wa kuongezeka uhalifu na uporaji na hata mauaji kutumia silaha. Vita vinavuruga uchumi eneo la Maziwa Mkuu. Jambo lisilopingika ni kushuka shughuli za kibiashara kutokana na kukosa usalama, ...