Mgombea urais mteule Samia Suluhu Hassan, na mgombea mwenza kwa tiketi ya CCM Dk Emmanuel Nchimbi wakitambulishwa wakati rasmi katika sherehe za ... dola pande zote za Tanganyika na Zanzibar. “Ili ...
Wazee na Watoto Zanzibar, Riziki Pembe Juma akimpokea Rais wa Namibia, Dk. Nangolo Mbumba alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, kwa ajili ya kushiriki sherehe za miaka 60 ...
Kwa mujibu wa ripoti hiyo pamoja na shuhuda za wakaazi wa mji wa Goma ni kuwa Bei ya baadhi ya vyakula muhimu imeongezeka tangu waasi wa M23 walipodai wanaudhibiti. ActionAid inasema Kutokana na ...
raia wa Ubelgiji Jean-Jacques Wondo yuko huru tangu Jumanne, Februari 4, 2025, baada ya kuachiliwa na mamlaka ya DRC "kwa sababu za matibabu. Alihukumiwa kifo, akishutumiwa kushiriki katika ...
Ba lalle ba ne ɗanwasan Ingila Marcus Rashford, da ya bar Manchester United zuwa Aston Villa a matsayin aro, ya sake buga wa ƙungiyarsa ta asali saboda dangantakarsa da ƙungiyar. (Guardian).
Huku wengi wakiamini kuwa hatua hizo za ... wa Afrika unapaswa kuongeza utekelezaji wa makataba wa AfCFTA. Wanahitaji kukuza kiwango cha biashara na kuifanya ifanye kazi." Obiora Madu aliongeza ...
Muungano mkubwa zaidi wa vyama vya upinzani nchini Ujerumani umewasilisha bungeni hoja ya kubana zaidi sheria za uhamiaji ukisaidiwa na chama kinachochukuliwa kuwa cha mrengo wa mbali kulia.
Wataalamu wa Umoja wa Mataifa wamelezea wasiwasi wao mkubwa kuhusu mahitaji ya dharura ya ulinzi na mazingira magumu yanayokabili raia kwenye eneo la Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ...
Kamisheni ya Utalii ya Zanzibar ... wa Wanyamapori Tanzania – TAWA inalenga kuimarisha ushirikiano kati ya Zanzibar na maeneo mengine ya bara yaliyo chini ya usimamizi wa TAWA na kuwawezesha wadau hao ...
Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema maboresho ya mahakama ya kiutendaji na mifumo lazima viende sambamba na upitiaji wa sheria ambazo zimepitwa na wakati na zile ambazo ni kikwazo ...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi amewahimiza wafanyabiashara kujiandaa na Mwezi Mtukufu wa Ramadhani na kufanya biashara kwa uadilifu na kuwa na Huruma kwa ...
Mabadiliko haya chanya yanafuatia mkakati ulioanza mwaka 2001 wa WHO kwa ushirikiano na serikali wa kuendesha kampeni za kila mwaka za kugawa dawa kwa wananchi. Jean-Marie Saboutou ni Mhamasishaji wa ...