Mkutano Mkuu Maalum unatarajia kupokea taarifa za utekelezaji wa kazi za serikali ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) kwa kipindi cha mwaka 2022 hadi 2024. Hata hivyo, kiu kubwa ya ...
Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Hemed Suleiman ... bilioni 830 mwaka 2024/2025, sawa na ongezeko la asilimia 212.6. Serikali imefanikiwa kujenga shule mpya 116 zenye jumla ya madarasa 2,713, ikiwemo ...
Muungano mkubwa zaidi wa vyama vya upinzani nchini Ujerumani umewasilisha bungeni hoja ya kubana zaidi sheria za uhamiaji ukisaidiwa na chama kinachochukuliwa kuwa cha mrengo wa mbali kulia.
Airpay pamoja na wadau mbalimbali kutoka Taasisi za kibenki ikiwemo Benki ya Taifa ya Biashara (TCB), Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) na mitandao ya simu ambayo ni Airtel, Mix by Yas, MPesa, Duns and ...
Wakuu wa nchi za Afrika ... kuhusu changamoto za upatikanaji wa Nishati ya Uhakika katika mataifa hayo.Licha ya rasilimali za bara la Afrika bado hakuna nishati ya uhakika na endelevu?
Kwa kuwa imekuwa mojawapo ya mzunguko wa kimataifa ... eneo la sherehe za kuwatuza madereva huko Hell’s Gate katika siku ya mwisho ya mashindano. Jijini Nairobi, kutakuwa na maeneo mawili ...
Mwenyekiti wa Taifa wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Fadhili Maganya akizungumzia kuhusiana na kongamano la sherehe za miaka 48 tangu kuzaliwa kwa chama ... Mkuu wa CCM kuhusu kuachia ngazi ya urais ...
Guterres amelinganisha uraibu wa dunia kwa nishati ya mafuta na mnyama wa Frankenstein, akisisitiza madhara yake makubwa. Amebainisha kuwa baadhi ya bandari kuu za mafuta duniani ziko hatarini ...
Amesisitiza kuwa Baraza lina jukumu muhimu katika kuunga mkono juhudi za Muungano wa Afrika (AU) za kupambana na ugaidi, zinazoongozwa na Afrika yenyewe kwa kutumia majawabu ya kiafrika Bi. Mohammed ...
punde tu atakapo apishwa rasmi kuwa rais wa 47 wa Marekani. Siku ya kuapishwa itajumuisha sherehe rasmi ya kuapishwa pamoja na tumbuizo la muziki, gwaride la sherehe na kucheza. JD Vance pia atakula ...
katika uchaguzi mkuu mwaka huu umewasha taa ya kijani ya mbio za urais mwaka 2030. Dk Nchimbi ambaye ni Katibu Mkuu wa CCM alipendekezwa na Mgombea Urais wa chama hicho, Rais Samia Suluhu Hassan mbele ...
Usaili huo umefanyika jana katika Makao Makuu ya chama hicho, Mikocheni, Dar es Salaam ambapo watia nia waliofanyiwa usaili huo ni wa nafasi za Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti Bara na Zanzibar na ...