WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amekemea tabia ya baadhi ya wananchi wasio waaminifu wanaong’oa mabango na nguzo za anwani za ...
Katika mwaka uliopita huko Gaza, "zaidi ya watoto 600,000 – ambao wana umri wa kwenda shule - hawakupata elimu," anasema msemaji wa Unicef, Saleem Oweis. "Tunaona jinsi migogoro na ukosefu wa ...
SERIKALI kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA imekabidhi madawati 295 yenye thamani ya Sh millioni 25.9 kwa shule za sekondari na msingi mkoani Simiyu. Hatua hiyo inalenga ...
SIKU chache baada ya Nipashe kuchapisha ripoti kuhusu madhila yanayowakumba wanafunzi na walimu wa Shule ya Msingi Lipumba kutokana na kujengwa jirani na makaburi, uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya ...
KIKOSI cha Dodoma Jiji kimepata ajali ya basi kikitokea Ruangwa mkoani Lindi kuja jijini Dar es Salaam, baada ya jana tu kumaliza mchezo wake wa Ligi Kuu Bara dhidi ya wenyeji wao Namungo FC, ...
WACHEZAJI saba kati ya 37 waliopata majeraha katika ajali ya gari la timu ya Dodoma Jiji FC bado wanapatiwa matibabu katika hospitali ya Kinyonga kutokana na kuumia kwa kukatwa na vioo wakati gari ...
BASI lililobeba wachezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Dodoma Jiji limepinduka na kutumbukia mtoni katika eneo la Nangurukuru mkoani Lindi likiwa na wachezaji. Ajali hiyo imetokea leo Februari 10, ...
Dar es Salaam. Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia ametuma salamu za pole kwa klabu ya Dodoma Jiji kufuatia ajali iliyotokea eneo la Nangurukuru mkoani Lindi. Hayo ...
Basic Attention Token (BAT), sarafu ya asili ya cryptocurrency ya mradi unaolenga kutumia teknolojia ya blockchain na kivinjari chake chenye msingi wa blockchain ili kuleta mapinduzi ya utangazaji ...
Namungo has managed two wins over their last seven home matches this season. After picking up a shocking victory over Mashujaa at home, Dodoma Jiji suffered a loss on their home turf against Pamba SC.