RAIS Samia Sulluh Hassan amezindua shule ya wasichana ya Mkoa wa Tanga leo Februari 25 katika Kijiji cha Mabalanga wilayani Kilindi, ambayo inafundisha mchepuo wa sayansi. Wakati akizindua shule hiyo ...
Kampuni ya Mawasiliano ya Halotel imedhibitisha dhamira yake katika uwajibikaji Sekata kwenye jamii baada ya kuwapatia usafiri wa baiskeli wanafunzi wa shule ya Sekondari Visiga iliyoko mkoani Pwani ...
A second body of a man was found in the area with stab wounds, police said. Witnesses claim the group attacked and damaged police cars as others blocked major roads in the area.
Subscribe to our newsletter and stay updated on the latest developments and special offers!
Moja ya jengo la darasa ambalo limeanguka katika Shule ya Sekondari Tumaini Jema ... hiyo kufanya uchunguzi wa kina kuhusu tukio hilo pamoja na kukagua ubora wa majengo ya shule hiyo. "Naagiza ...
(Picha zote na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu). Rais Dk Samia Suluhu Hassan akifungua Shule ya Sekondari ya wasichana Tanga iliyopo Mabalanga katika Kijiji cha Michungwani Wilaya ya Kilindi, ...
Kwa upande wake, Mbunge wa Kilindi Omari Kigua amesema wamepokea Sh bilioni 13 kwa ajili ya shule pekee, shule za sekondari za juu ‘A level’ ziko nne, na hivi karibuni wilaya hiyo inatarajiwa kupokea ...
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa na wanafunzi wakati baada ya kufungua Shule ya Sekondari ya wasichana Tanga iliyopo Mabalanga ... Amesema jengo hilo ni kati ya majengo 122 yaliyojengwa katika ...