ambazo zimeunganishwa na majengo ya Shule ya Sekondari ya Baobab, hali iliyosababisha taharuki miongoni mwa wazazi na wafanyakazi wa shule hiyo. Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Pwani, Salim ...
KATIKA gazeti hili leo ipo habari kuhusu maelekezo ya Ofi si ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa wakurugenzi wa halmashauri kuhusu upatikanaji wa huduma za maji katika shule ...
Shirika lisilo la kujipatia faida linalosaidia familia katika malezi ya watoto linaendesha tovuti inayotoa taarifa mbalimbali zinazohusiana na shule, ikiwa ni pamoja na mfumo wa elimu wa Japani na ...
"Wapo wazazi ambao wamewapeleka watoto wao shule za binafsi hivyo wasipoonekana kwenye shule walizopangiwa inaweza kuchukuliwa kuwa wapo nyumbani tu kumbe tayari wapo kwenye shule binafsi ndani ya ...
Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imekibeza Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ikidai kuwa uchaguzi wa viongozi wake wa juu umewaachia vidonda, majereha na makovu yasiyoisha, ...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Dodoma imekamata mbolea ya ruzuku iliyokuwa ikiuzwa kwa bei ya juu kinyume na utaratibu wa serikali. Akizungumza Jumatano, Januari 29, 2025, ...
Sehemu ya kwanza inahusu elimu ya lazima nchini Japani. Shirika lisilo la kujipatia faida la Kidsdoor linatoa taarifa kuhusu shule kwa wazazi na watoto wasio na uraia wa Japani kwa lugha rahisi ya ...
KAMPUNI ya Sheria ya Afrifa Legal Consultant, inatarajia kutoa mafunzo ya msingi wa haki kwa baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari Kibasila ... "Wanafunzi wana wazazi na wazazi ni sehemu ya ...
Mwezi Novemba 2021, serikali ya Tanzania ilitangaza Waraka wa Waraka wa Elimu Na. 2 wa 2021, ambao ulielezea jinsi wanafunzi walioacha shule kwa sababu mbalimbali, ikiwa ni pamoja na ujauzito ...
MADIWANI katika Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara wametakiwa kuendelea kuwahimiza wazazi na walezi ambao bado hawajawapeleka watoto shule wawapeleke ili wakapate masomo na kuhakikisha ...
“Miaka sita iliyopita, mtoto wangu mwenye umri wa miaka mitano wakati huo aliniuliza kwa nini mimi na baba yake hatukupendana tena, nilitambua alikuwa akihoji ukosefu wetu wa mawasiliano na umoja ...
amesema kuwa licha ya picha hizo kusambazwa kabla ya shule kufunguliwa, walishukuru kuwa wazazi walikuwa na imani nao na asilimia kubwa ya wanafunzi waliripoti kwa wakati. "Shule yetu ina jumla ya ...