Kampuni ya Grumeti Reserves imetoa madawati 150 kwa shule tatu za msingi katika wilaya ya Serengeti, mkoani Mara, ili ...
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imetangaza kuwa imeanzisha zaidi ya klabu 300 za haki za binadamu katika ...
Watoto wa raia wa kigeni wanaweza kuhudhuria shule za msingi za umma za Kijapani. Katika mfululizo huu, tutaelezea sheria za maisha ya shule, maudhui ya masomo na matukio. Sehemu ya leo inahusu ...
Watoto raia wa kigeni wanaweza kujiunga na shule za msingi za umma. Katika mfululizo huu, tunaelezea sheria za maisha ya shule, maudhui ya masomo na matukio. Kipengele chetu cha leo kinahusu aina ...
Vyuo vingi nje ya Tanzania vimetambua umuhimu wa somo hili, na hivyo kulifanya somo la lazima kwa wanafunzi wote wanaosoma ...
Picha na Mgongo Kaitira. Mwanza. Uwepo wa lishe shuleni ni miongoni mwa sababu zinazotajwa kuchochea kupanda kwa taaaluma katika shule za msingi na sekondari zilizoko Halmashauri ya Manispaa ya ...
Kutokana na ari hii, Bahati alianzisha taasisi ya kiraia iitwayo Msichana Kwanza, ambayo imekuwa na mchango mkubwa katika ...
Urusi inasema hakuna mazungumzo yoyote yatakayofanyika baina yake na Marekani yatakayofanyika Saudi Arabia kuhusu kuondoa ...
Halfani alikiri kuwa kwa sasa kuna ongezeko la jitihada zinazowekwa na TPDC na PAET katika kutekeleza miradi kupitia CSR ...
LINDI: MKAGUZI Msaidizi wa Polisi wa Kata ya Majengo, Halmashauri ya Wilaya ya Lindi, Marwa Benedict, kwa kushirikiana na ...
Kupitia mpango huu, watoto 10,000 wa shule za msingi wamepata mlo wenye lishe ili kuwapa afya njema na umakini darasani. Aidha, mpango huu umetoa soko kwa wakulima wadogo kusambaza chakula, jambo ...
Kitengo cha Elimu kiliripoti kuwa shule 78 zilifungwa kati ya Januari na Februari katika ... mamia ya maelfu ya watu kuhama makazi yao na kuathiri utoaji wa huduma za msingi, jambo linaloongeza hatari ...