Zaidi ya wanafunzi 400 wa shule za sekondari mkoani Mwanza wameelimishwa kuhusu faida za uwekezaji kwenye masoko ya mitaji, kuwa ni pamoja na kujiwekea akiba kwa ajili ya matumizi ya baadaye.
Nkonya ambaye pia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya ubunifu katika elimu Tanzania (EIT), amezungumza na Mwananchi katika ...