Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza, Balandya Elikana, amewataka maofisa elimu na watendaji wa sekta hiyo kuhakikisha wanaendana na mabadiliko ya utekelezaji wa mtaala mpya wa masomo ulioanza kutumika Jan ...
SERIKALI imepokea mapendekezo yaliyotolewa na madaktari bingwa wa selimundu kukabili ugonjwa huo nchini, ikieleza kuwa baadhi ...
Zaidi ya wanafunzi 400 wa shule za sekondari mkoani Mwanza wameelimishwa kuhusu faida za uwekezaji kwenye masoko ya mitaji, kuwa ni pamoja na kujiwekea akiba kwa ajili ya matumizi ya baadaye.
Nkonya ambaye pia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya ubunifu katika elimu Tanzania (EIT), amezungumza na Mwananchi katika ...
Leo tutatoa taarifa juu ya uhudhuriaji wa shule za sekondari. Nchini Japani, watoto wakishamaliza elimu ya lazima, wengi wao wanafanya mitihani ya kuingia shule za sekondari. Kuna mifumo mitatu ya ...
Ikiwa wanafunzi hao wanakusudia kuendelea na shule za sekondari ya juu na vyuo vikuu nchini Japani, wanapaswa kufanya mitihani ili kupata cheti kinachothibitisha kuwa wanastahili kufanya mitihani ...
wakiwemo wasichana waliozuiliwa kwenda shule za sekondari, huku Umoja wa Mataifa ukikielezea kama "njia ya kujifunza" kwa watoto wasioweza kuhudhuria shule. Dars Arabic, iliyozinduliwa kwa ajili ...
SERIKALI kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA imekabidhi madawati 295 yenye thamani ya Sh millioni 25.9 Kwa shule za sekondari na msingi mkoani Simiyu hatua inayolenga kuboresha ...
More than 10,000 white South African farmers have expressed interest in relocating to the United States following an executive order signed by President Donald Trump. The move has sparked intense ...
WANAFUNZI wa shule ya Sekondari Mkabuye iliyopo wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma wametoa shukrani zao kwa Rais Samia Suluhu Hassan kufuatia ujenzi wa shule ya sekondari katika kata hiyo hali ...
SERIKALI kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA imekabidhi madawati 295 yenye thamani ya Sh millioni 25.9 kwa shule za sekondari na msingi mkoani Simiyu. Hatua hiyo inalenga ...
Katika kuhakikisha wanafunzi wa sekondari hawapati daraja nne na sifuri Mkoa wa Dar es Salaam umeweka mkakati wa kuhakikisha wote wanafaulu. Uamuzi huo umekuja baada ya kuongezeka kwa kiwango cha ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results