Februari 5, 1977, vyama vya TANU na Tanganyika na Afro Shiraz (ASP) cha Zanzibar viliungana na kuunda chama kimoja—CCM. Chama hicho ndicho kinaongoza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja ...
RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi amewataka wananchi kushiriki katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu kwa amani na utulivu kwa kuwa tume zote mbili za uchaguzi zimeanza maandalizi ili uchaguzi huo ...
CCM ilizaliwa Februari 5, 1977, baada ya Chama cha ASP visiwani Zanzibar na Tanu cha Tanganyika kuungana ... na kupewa nafasi katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu kwa upande wa Zanzibar na Jamhuri ya ...
amehuzunika baada ya kumuona mkwe wake kwenye televisheni. "Hali yake inaonekana vibaya sana. Leo ana umri wa miaka 56. Na anaonekana kama ana umri wa miaka 10. Inasikitisha kumuona hivi.
Ohad Ben Ami, 56, ataunganishwa tena na mkewe, ambaye alikuwa mateka wa zamani ambaye aliachiliwa mnamo mwezi Novemba 2023 wakati wa makubaliano ya kwanza. Mtu mwingine atakayeachikiwa huru ni Or ...
Muungano mkubwa zaidi wa vyama vya upinzani nchini Ujerumani umewasilisha bungeni hoja ya kubana zaidi sheria za uhamiaji ukisaidiwa na chama kinachochukuliwa kuwa cha mrengo wa mbali kulia.
ya sake buga wa ƙungiyarsa ta asali saboda dangantakarsa da ƙungiyar. (Guardian). Newcastle United na zawarcin ɗanwasan Bournemouth ɗanasalin Netherlands Justin Kuivert, 25 ko da yunƙurinta ...
Muungano wa nchi kadhaa zilizoanzishwa na Brazil, Urusi, India, China na Afrika Kusini unaofahamika kama BRICS wenye lengo la kukuza uhusiano wa kiuchumi kati ya wanachama na kupunguza ushawishi ...
GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amependa ushirikiano unaofanywa baina ya Kampuni Airpay Tanzania na Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar (ZEEA) katika kuwafanya ...
Kamisheni ya Utalii ya Zanzibar na Chama cha waongoza watalii Zanzibar (ZATO) Februari 6, 2025 walifanya ziara maalumu (Fam – Trip) katika Hifadhi ya urithi wa utamaduni wa dunia Magofu ya Kale Kilwa ...
JOHANESBURG : SERIKALI ya muungano wa kitaifa ya Afrika Kusini inakumbwa na mizozo kutokana na tofauti kati ya vyama tanzu vinavyounda serikali, lakini Rais Cyril Ramaphosa ameahidi kuwa serikali hiyo ...