Viongozi wa dunia, akiwemo Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer, walikosoa mara moja kauli hizo, huku wakieleza kuwa zinaweza kuzua mvutano mpya katika eneo la Mediterania. Hakuna maelezo yoyote ...
Skypeck anaongeza kuwa programu za ufugaji zilizopo Amerika Kaskazini na maeneo yote makuu ya kilimo cha hop zinalenga aina mpya za kubadilisha ladha na harufu, na kutafuta aina ambazo zinaweza ...
NEW YORK : KATIBU Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, amekaribisha kuundwa kwa serikali mpya nchini Lebanon na kuthibitisha kujitolea kwa jumuiya ya kimataifa katika kuhakikisha uadilifu wa ...
BAADA ya kupata pointi nne katika michezo miwili akiwa na TMA FC ya jijini Arusha, kocha wa kikosi hicho, Mohamed Ismail 'Laizer', amesema maendeleo hadi sasa sio mabaya kwake, licha ya kukiri ana ...
SPIKA wa Bunge, Dk.Tulia Ackson, ameridhishwa na majibu ya kitaalamu wa Wizara ya Afya, baada ya Naibu Waziri wa Afya, Dk. Godwin Mollel, kuelezwa kuhusu matumizi ya teknolojia ya CRISPR-Cas9 katika ...
Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza, Balandya Elikana, amewataka maofisa elimu na watendaji wa sekta hiyo kuhakikisha wanaendana na mabadiliko ya utekelezaji wa mtaala mpya wa masomo ulioanza kutumika ...
Dar es Salaam. Kocha mpya wa Yanga, Miloud Hamdi amewashusha presha mashabiki wa timu hiyo akitamba kuwa itaendelea kucheza soka la kuvutia, kupata matokeo mazuri na kutwaa mataji ya ndani kama ...
Miaka kumi iliyopita, maadhimisho ya kwanza ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake na Wasichana katika Sayansi yalitambua ukweli wa kimsingi; ushiriki wa wanawake ni muhimu kwa ajili ya kujenga ulimwengu ...
Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Wahandisi nchini wametakiwa kufanya kazi kwa kuzingatia maadili, nidhamu, na uwajibikaji ili kuhakikisha taaluma hiyo inatoa mchango stahiki katika maendeleo ...