Mbunge wa Tarime vijijini John Heche alitaka malipo na fidia ... hayo wakidai kila wakifanyacho ni kwa mujibu wa sheria za Tanzania na mikataba ya ndani na ya kimataifa waliyoafikiana.