WIKI iliyopita Watanzania walipata habari ya kushtusha baada ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), kutangaza ...
KUNA mambo mawili ameambiwa beki wa kushoto wa Simba, Valentine Nouma na kocha wake ayafanyie kazi, huku kubwa zaidi ...
KESHO saa 10:00 za jioni kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam itashuhudiwa Dabi ya Wanawake kati ya Simba Queens ambao ni wenyeji wa mchezo huo ikiikaribisha Yanga Princess.
Che Malone yupo aliyepelekwa Morocco anazidi kuwapasua Simba kichwa kutokana na ratiba ngumu kuanzia mwezi ujao hadi Mei.
Baada ya kuitumikia timu ya taifa ya Uganda 'The Cranes' kwa zaidi ya miaka 15, nyota wa zamani wa Simba, Emmanuel Okwi ...
Kimahesabu, KenGold inahitaji miujiza ili kujiepusha na janga la kushuka daraja, lakini watu wasiichukulie poa kwani ...
ulitokana na madai ya timu ya Simba kunyimwa haki ya kufanya mazoezi kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa siku moja kabla ya mechi hiyo. Kwa mujibu wa Kanuni za Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF), timu ...
Uingereza ina timu katika mashindano yote matatu ya Ulaya tunapoingia hatua ya robo fainali. Hakuna nchi iliyowahi kushinda makombe yote matatu katika msimu mmoja, ingawa Ligi kuu iko katika ...
Hilo linanipa wakati mgumu japo kama mwalimu wa mpira wa miguu inanipa nafasi ya kujiamini zaidi," anaeleza Kocha wa timu ya Mfaranyaki City, Priver Ngonyani. Sasa fika uwanjani uyaone maajabu ...
Waziri Lukuvi pia amempongeza Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Dk. Jim Yonazi, pamoja na timu ya menejimenti kwa usimamizi mzuri wa shughuli za Serikali na kuhimiza mashirikiano zaidi katika ...
Na Winfrida Mtoi Simba Queens na Yanga Princess kesho Machi 18,2025 zinashuka dimbani katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara, kwenye Uwanja wa ...