WIKI iliyopita Watanzania walipata habari ya kushtusha baada ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), kutangaza ...
HADHI ya Ligi Kuu Tanzania Bara iko hatarini. Misimu miwili iliyopita kulikuwa na malalamiko ya ratiba ya ligi kupanguliwa ...
Sakata la Simba kuzuiwa kufanya mazoezi yake ya mwisho na mabaunsa na maafisa wanaoaminika kuwa wa Yanga katika uwanja wa ...
KUNA mambo mawili ameambiwa beki wa kushoto wa Simba, Valentine Nouma na kocha wake ayafanyie kazi, huku kubwa zaidi ...
KESHO saa 10:00 za jioni kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam itashuhudiwa Dabi ya Wanawake kati ya Simba Queens ambao ni wenyeji wa mchezo huo ikiikaribisha Yanga Princess.
Che Malone yupo aliyepelekwa Morocco anazidi kuwapasua Simba kichwa kutokana na ratiba ngumu kuanzia mwezi ujao hadi Mei.
Che Malone yupo aliyepelekwa Morocco anazidi kuwapasua Simba kichwa kutokana na ratiba ngumu kuanzia mwezi ujao hadi Mei.
Takriban watu 20 wameuawa na wengine kama 30 kujeruhiwa kufuatia wimbi la mashambulizi ya Urusi nchini Ukraine usiku kucha ...
Kimahesabu, KenGold inahitaji miujiza ili kujiepusha na janga la kushuka daraja, lakini watu wasiichukulie poa kwani ...
TIMU ya Simba imekuja na kampeni ya kutafuta pointi 30 katika michezo 10 iliyobaki kushinda ubingwa Ligi Kuu Tanzania Bara. Simba inashika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi hiyo ikiwa imecheza ...
Haya yalikuwa kwenye hafla ya uzinduzi wa sare mpya za timu ya Shabana, inayoshiriki ligi kuu ya kitaifa (FKF-PL) katika uga wa Gusii. Vijana hao walimpigia mayowe Bw Odinga kwa kipindi kirefu ...