Kwa mara ya kwanza, Tanzania inatarajia kuanzisha tuzo za kutambua na kuthamini mchango wa wasanii katika tasnia ya vichekesho (uchekeshaji) chini ya usimamizi wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) na ...
TANZANIA inazidi kupata mafanikio kwenye sekta ya fedha, imefahamika. Kwa mujibu wa ripoti ya viashiria vya Masoko ya Fedha ya Absa (AFMI) ya mwaka 2024, Tanzania imepanda kutoka alama 50 hadi 52.
SIKU chache baada ya kuripotiwa kwamba mabosi wa Yanga wamelegeza kamba kwa kuwa tayari kumuuza mshambuliaji nyota Clement Mzize, matajiri wa Klabu ya Al Ittihad ... kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 ...
PAMBA Jiji na Fountain Gate zimepelekana Shirikisho la Soka Tanzania ... wa kikosi cha Azam FC, Abdallah Kheri ‘Sebo’, aliyetolewa kwa mkopo zina uhalali wa kumtumia. Nyota huyo ni miongoni mwa ...
Uteuzi wa Lissu unakuja wakati huu ambapo tofauti zikionekana kuibuka ndani ya chama hicho cha upizani, changamoto ambayo wachambuzi wa masuala ya kisiasa wanasema huenda ikikadhoofisha chama ...
Uamuzi wa Rais wa Marekani, Donald Trump, wa kusitisha misaada ya maendeleo nje ya Marekani kwa siku 90, pamoja na azma ya kujitoa kwenye Shirika la Afya Duniani (WHO), umeikuta Tanzania ikiwa ...
Makamu huyo wa zamani wa rais, aliyechukua nafasi ya Rais John Magufuli, aliyefariki dunia ghafla mweziMachi 2021, alionyesha dalili za uwazi alipoingia madarakani, hasa akiidhinisha vyombo vya ...
inafanya utafiti wa tatu wa hali ya upatikanaji na matumizi ya nishati katika mikoa yote ya Tanzania Bara. Hayo yameelezwa hivi karibuni Jijini Dodoma na Mkurugenzi wa Mipango na Utafiti kutoka Wakala ...
labda kutoka nje ya nchi na wasanii ambao ni wakubwa. Nyuma ya pazia ipo hivi Mtayarishaji nguli wa muziki nchini, Master Jay anasema kwa Tanzania, msanii akitangaza dau kama hivyo anaonekana anaringa ...