Mshtakiwa Rwechungura, anadaiwa kujiwasilisha kuwa yeye ni Ofisa Takwimu kutoka Halmashauri ya Tunduma Mjini, kwa Tupilike Mbwile, Ofisa Mradi kutoka Halmashauri ya Momba Mjini, kwa Elistulida ...
Kongamano la kimataifa kuhusu kuangamiza silaha za nyuklia lilifunguliwa mjini Tokyo jana Jumamosi, likiwashirikisha manusura na wataalam wa bomu la atomiki. Tukio hilo linakuja wakati mwaka huu ...
Takribani wakazi 750 wa zamani wa visiwa hivyo, jamaa na watu wengine walikusanyika katika maandamano hayo ya kila mwaka yaliyofanyika mjini Nemuro katika mkoa wa kaskazini mwa Japani wa Hokkaido ...
Waasi wa M 23 kwa mara ya kwanza wameandaa mkutano wa hadhara jijini Goma kuwatambulisha viongozi wake, baada ya kuingia katika jiji hilo wiki moja iliyopita na kusababisha makabiliano makali na ...
"Vikosi vyetu vimepiga hatua kubwa Khartoum, kupata eneo lote la Al-Rumaila, bohari ya matibabu, eneo la viwanda na hazina ya sarafu ya serikali," msemaji wa SAF Nabil Abdallah amesema katika taarifa.
6 Februari 2025 Majengo ya kihistoria mjini Mosul, yakiwemo makanisa na misikiti, yanafunguliwa tena kufuatia uharibifu wa miaka mingi uliotokana na kutekwa kwa mji huo wa Iraq na kundi la Islamic ...
'Tutaishi na kufa katika ardhi yetu': Ghadhabu Mashariki ya Kati baada ya kauli ya Trump kuhusu Gaza
Chanzo cha picha, Getty Images Katika mkutano na waandishi wa habari mjini Washington akiwa na waziri mkuu wa Israel, Trump alipendekeza siku ya Jumanne kwamba Marekani inapaswa kudhibiti Ukanda ...
"Tunaona matamko mengi lakini hatuoni vitendo," waziri wa mambo ya nje Thérèse Kayikwamba Wagner aliwaambia waandishi wa habari mjini Brussels. Kwa kuhofia mzozo unaoendelea, nchi kadhaa jirani tayari ...
Namungo ilipokea kipigo hicho ikiwa ugenini kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, mjini Tabora huku ikitangulia kupata bao la mapema kupitia nahodha wake, Jacob Massawe kabla ya wenyeji kupindua meza na ...
Kutokana na kupanda kwa bei na kuongezeka kwa wakimbizi, lishe ya msingi imekuwa nje ya uwezo wa wengi, na mamia ya maelfu ya watu mjini humo wanaweza kukumbwa na njaa kali, kulingana na shirika la ...
Thank you for reporting this station. We will review the data in question. You are about to report this weather station for bad data. Please select the information that is incorrect.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results