VIJANA wanne kutoka Kanda ya Ziwa, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, ...
Wakazi wanne wa mkoa wa Kagera na Mwanza, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka 49 yakiwemo ya kutumia laini ya simu iliyosajiliwa kwa jina la ...
Kongamano la kimataifa kuhusu kuangamiza silaha za nyuklia lilifunguliwa mjini Tokyo jana Jumamosi, likiwashirikisha manusura na wataalam wa bomu la atomiki. Tukio hilo linakuja wakati mwaka huu ...
lakini mpaka sasa hali ya wasiwasi inaendelea kuwakumba wakazi wa mjini Goma, kufuatia njaa na umasikini unaosababishwa na vita hivyo. Inatokea sasa hivi ...
Hakujawa na uthibitisho kutoka kwa jeshi la Kongo au serikali mjini Kinshasa kwamba mji huo mkuu wa mkoa wa Kivu Kaskazini umekamatwa na waasi. Muungano wa waasi unaoongozwa na kundi la M23 lenye ...
Takribani wakazi 750 wa zamani wa visiwa hivyo, jamaa na watu wengine walikusanyika katika maandamano hayo ya kila mwaka yaliyofanyika mjini Nemuro katika mkoa wa kaskazini mwa Japani wa Hokkaido ...
MSF na mamlaka za Sudan wapiganaji wa RSF walihusika katika shambulio la siku ya Jumamosi kwenye mji wa Omdurman, ambapo watu ya 60 waliuawa na wengine zaidi ya 100 walijeruhiwa, madai ambayo hata ...
Wapatanishi wa Israel na Hamas wanafanya juhudi za mwisho kufikia mkataba wa usitishaji vita vya Gaza mjini Doha, Qatar huku pande zote zikiashiria majadiliano yamekamilika. Ripoti ziliibuka kuwa ...
Tarehe 24 January 2025 Rais Tshisekedi alikatiza ziara yake mjini Davos baada ya mapigano makali kuzuka nchini mwake, katika mji wa Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ambapo ...
Huko Goma, hali imeripotiwa kuwa tulivu ambako Bahati Hamuli Genolé mkimbizi kwenye kambi namba 8 ya CEPAC-mjini Goma anakumbuka ilivyokuwa hadi kujikuta hapa, akisema, “tukasikia wamefika na Sake, ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results