Akizungumza mjini Bunda, Januari 30, 2024, Wasira alihoji iwapo Katiba mpya ndiyo suluhisho la changamoto zinazowakabili Watanzania. "Wanalilia Katiba Mpya lakini hawafikirii wananchi. Watanzania ...
Meneja wa Hamisa Mobetto, Doctar Ulimwengu amesema suala la ndoa ya Hamisa na Aziz Ki ni ukweli mtupu na siyo kiki kama baadhi ya watu wanavyodhani.
VIJANA wanne kutoka Kanda ya Ziwa, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, ...
Wakazi wanne wa mkoa wa Kagera na Mwanza, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka 49 yakiwemo ya kutumia laini ya simu iliyosajiliwa kwa jina la ...
Hii leo huko Beni mji ulioko Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC kumefanyika hafla ya kumsimika Gavana mpya wa kijeshi wa jimbo hilo kufuatia wa awali kuuawa wakati wa mapigano hivi ...
Ripoti zinaonyesha kuwa M23 imeendelea kusonga kusini kuelekea Bukavu, imeeleza Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa (OHCHR) kupitia taarifa iliyotolewa leo Januari 31 mjini ...
Hakujawa na uthibitisho kutoka kwa jeshi la Kongo au serikali mjini Kinshasa kwamba mji huo mkuu wa mkoa wa Kivu Kaskazini umekamatwa na waasi. Muungano wa waasi unaoongozwa na kundi la M23 lenye ...
Freeman Mbowe, ambaye amekuwa Mwenyekiti wa chama hicho kwa kipindi cha miongo miwili, kupitia mtandao wake wa X zamani ukiitwa Twitter amempongeza mrithi wake na mkamu wake wa zamani Tundu Lissu ...
DAR ES SALAAM; SIMBA wameanza kutamba bwana! Leo walijana pale Viwanja vya Mwembe Yanga, Temeke, Dar es Salaam kufuatilia kwenye televisheni mchezo wa mwisho hatua ya makundi kati ya timu hiyo na CS ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results