Mkutano huu ambao umethibitishwa na rais wa Kenya, William Ruto, ambaye ni mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, unakuja siku kadhaa kupita tangu viongozi wa jumuiya hizo kwa nyakati tofauti ...
Viongozi hao licha ya kutofafanua kuhusu ujumbe wa mawaziri wa Ulinzi na wakuu wa majeshi, wametoa salamu za rambirambi kwa DRC, Malawi, Afrika Kusini, na Tanzania kuhusiana na wanajeshi ...
Waziri wa mambo ya Kigeni wa Uturuki Hakan Fidan ameomba ushirikiano wa kikanda katika kukabiliana na wanamgambo wa Chama cha Kikurdi cha PKK nchini Iraq na katika taifa jirani la Syria.
Pia, nitakata ufadhili wote ujao kwa Afrika Kusini hadi uchunguzi kamili wa hali hii utakapokamilika!" Alisema. Haijulikani ni nini kilisababisha Trump kuutuma ujumbe huo. Ubalozi wa Afrika Kusini ...
Freeman Mbowe, ambaye amekuwa Mwenyekiti wa chama hicho kwa kipindi cha miongo miwili, kupitia mtandao wake wa X zamani ukiitwa Twitter amempongeza mrithi wake na mkamu wake wa zamani Tundu Lissu ...
Rais wa mpito wa Syria Ahmed al-Sharaa ameahidi ... Qatar ilikuwa nchi ya pili, baada ya Uturuki, kufungua tena ubalozi wake mjini Damascus kufuatia kupinduliwa kwa Assad. Imehimiza kuondolewa ...
Mradi huo wa miaka mitatu unafadhiliwa na Ubalozi wa Ireland nchini Tanzania kwa kushirikiana na Mfuko wa Aga Khan. Awamu ya kwanza ya mradi itatekelezwa mkoani Dodoma, ambako zaidi ya wakufunzi 10 ...
Dar es Salaam. Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani umesema Serikali ina taarifa rasmi ya watu 24 wanaoaminika kuwa Watanzania wanaoshikiliwa na Mamlaka ya Uhamiaji na Forodha ya Marekani (ICE) kwa ...
Katika uamuzi wake, Mahakama ya Afrika ilibaini kuwa Tanzania ilikiuka haki ya kuishi inayolindwa chini ya Kifungu cha 4 cha Mkataba wa Afrika, marufuku ya mateso, kutendewa kinyume cha ubinaamu na ya ...
Balozi wa Tanzania katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo,Said Mshana, amempokea Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika, Moussa Faki Mahamat, aliyewasili nchini Tanzania alfajiri ya Februari 8, ...
Mhandisi Mkuu wa Usafiri wa AfDB nchini Tanzania, Mumina Wa-Kyendo, amesema kuwa zaidi ya asilimia 70 ya fedha hizo zitatengwa mahsusi kwa miundombinu ya usafiri, ikiwemo barabara, reli na viwanja vya ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results