Mwenyekiti wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), Murshid Nzege, amesema sasa ni wakati mwafaka kwa madiwani nchini ...
Mbunge Aesh alisema pia uwapo wa meli hiyo, utasaidia kupunguza vifo vya watu, wanaotumia usafiri wa maji katika ziwa hilo linalounganisha mikoa ya Kigoma, Katavi na Rukwa kwa upande wa Tanzania ...