WATU watatu wilayani Gairo, mkoani Morogoro wametiwa mbaroni na Jeshi la Polisi wakituhumiwa kuhusika na wizi wa nondo za ujenzi wa Shule ya Msingi ya Amali katika kijiji cha Kwipipa, kata ya Iyogwe ...
Serikali kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) imepongezwa kwa ujenzi wa mradi wa Kituo mama cha gesi iliyoshindiliwa yaani Compressed Natural Gas (CNG) na Vituo vidogo viwili vya ...
DODOMA: WAZIRI wa Uchukuzi Prof Makame Mbarawa ameziagiza mamlaka zinazosimamia mradi wa ujenzi uwanja wa ndege wa kimataifa wa Msalato, mkoani Dodoma kuhakikisha mkandarasi wa mradi huo anaongeza ...
ambayo itaelekezwa katika miradi mbalimbali kama vile ukarabati na ujenzi wa madarasa mapya kwa shule zenye upungufu, ujenzi wa mabweni na usambazaji wa huduma za kijamii kama maji safi. Mtaalamu wa ...
Baadhi ya wakazi wa Kijiji cha Mihale wilayani Bunda wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya hiyo, Dk Vicent Naano ( hayupo pichani) alipokuwa akitoa maelekezo kuhusu wanafunzi ambao bado hawajaripoti shuleni.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt. Hashil Abdallah amempongeza na kumshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kuwezesha ujenzi wa Jengo la Ofisi Kuu ya Wakala wa Vipimo (WMA) jijini Dodoma ...
Meanwhile the WA Liberals have promised to introduce new laws allowing courts to send repeat drug offenders to rehabilitation. Public transport fares would drop to a flat fee of $2.80 for ...
SINGIDA: MKUU wa Wilaya ya Iramba mkoani Singida Suleiman Mwenda ... kuongeza ufaulu zaidi katika Mkoa wa Singida huku akipongeza ukamilishaji wa ujenzi wa vyumba vitano vya madarasa Shule ya Msingi ...
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kushirikiana na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) inafanya utafiti wa tatu wa hali ya upatikanaji na matumizi ya nishati katika mikoa yote ya Tanzania Bara. Hayo ...