tatizo ni kwamba kuna urekebishaji mdogo sana wa majengo yaliyopo, lakini pia kuna utekelezaji mdogo sana wa viwango vya ujenzi kwenye majengo mapya," anasema Prof Alexander. Mwandishi wa BBC ...
UKAGUZI wa kiufundi na kiufanisi wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Msalato, jijini Dodoma uliofanywa na Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), umebainisha dosari kadhaa katika utekelezaj ...
Wataalamu wa ujenzi nchini Tanzania wamezitaka mamlaka nchini humo kuzingatia na kutekeleza yale yanayoshauriwa na tume zinazoundwa kuchunguza hali ya majengo yaliyopo Kariakoo na katikati ya jiji ...
Pia ametaja athari nyingine ni adhabu ya riba ya Sh322.721 milioni kutokana na kuchelewa malipo kwa wakandadarasi.
WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amewataka wataalamu wa wizara hiyo kutumia Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi ambao umefanyika mkoani Singida kubuni njia zitakazosaidia kuondoa kero ya foleni mijini n ...
Mradi wa ujenzi wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU) Kampasi ya Sengerema utakaoanza Februari 15, 2025, katika Kijiji cha Kalumo, Kata ...
Mchengerwa ametoa agizo hilo katika hafla ya utiaji saini wa mkataba wa ujenzi wa Soko Kuu la Majengo na vituo vya daladala jijini Dodoma kupitia mradi wa uboreshaji miundombinu ya Miji (TACTIC) awamu ...
Bado ujenzi mpya katika maeneo yaliyoathirika upo ... Maafisa wa mkoa wa Ishikawa wanasema takribani asilimia 40 ya ubomoaji wa majengo uliofadhiliwa na umma kwa niaba ya wamiliki umekamilia ...
Donald Trump ametangaza siku ya Jumanne kwamba Marekani "itadhibiti Ukanda wa Gaza" wakati wa mkutano na waandishi wa habari ...
WANAFUNZI wa shule ya Sekondari Mkabuye iliyopo wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma wametoa shukrani zao kwa Rais Samia Suluhu ...
Maafisa wa zimamoto katika jimbo la California nchini Marekani walitangaza juzi Ijumaa kuwa moto wa nyika, ulioanza zaidi ya wiki tatu zilizopita karibu na Los Angeles, umedhibitiwa.