Rais Ruto amesisitiza kuwa mkutano huo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kuhusu mzozo wa mashariki mwa Kongo utakaofanyika ndani ya muda wa siku mbili zijazo, utajadili namna ya kupanga mikakati ya ...
Mawaziri wa Ulinzi Nakatani Gen wa Japani na Pete Hegseth wa Marekani wamekubaliana kuimarisha ushirikiano wa pande mbili chini ... helikopta ya kijeshi iliyotokea karibu na jiji la Washington ...
Mkuu wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa ... ikiwa ni nchi pekee iliyopata madhara ya mabomu ya atomiki, itatumia uongozi wake katika jumuiya ya kimataifa mwaka huu, ambapo inatimia miaka 80 tangu ...
Ndege ya shirika la ndege la PSA imegongana na helikopta ya Jeshi la Marekani aina ya Blackhawk ilipokuwa ikitua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ronald Reagan karibu na Washington, mwendo ...
Mkutano wa kilele wa pamoja kati ya EAC na SADC unafunguliwa leo Ijumaa, jijini Dar-es-Salaam, Tanzania, kuhusu mgogoro wa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Mashirika ya kikanda ...
Katz alisema kufutwa kwa amri ya kuwazuilia walowezi wa Israel kulikusudiwa "kutuma ujumbe wa wazi wa msaada na kutia moyo kwa jumuiya ... Alhamisi, Washington ilisema kuwa jeshi chini ya amri ...
Ofisi ya Rais Abbas iliyoko ... ni la kusikitisha na linahimiza uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya ubinaadamu. Pendekezo hilo pia limepingwa na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu.
Viongozi wa ... jumuiya zikafanikiwa hata kuzishawishi pande zote kusimamisha mapigano kwa muda fulani, kurudi mezani kwa ajili ya mazungumzo na kurudisha maeneo muhimu huku Kivu ya Kaskazini ...
The 2025 Pro Bowl Games will wrap up on Sunday with the main event. Some of the leagues biggest stars will share the field for a flag football game before Super Bowl week gets underway on Monday ...
Imebainika kuwa barabara inayoelekea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga haikuwahi kuingizwa kwenye mpango wa bajeti ya Serikali, hali inayosababisha madhara kwa wagonjwa na watumiaji wengine wa ...
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kushirikiana na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS ... ambazo zitatumika kwenye uandaaji wa miradi ya usambazaji wa nishati mbalimbali ikiwemo ya umeme, kupikia na ...