Miradi ya miundombinu ya elimu na afya katika Manispaa ya Geita, ambayo ilianza kujengwa kati ya mwaka 2018 na 2021 lakini ...
Bunge limepitisha nyongeza ya mapato na matumizi ya jumla ya Sh945.7 bilioni kwa ajili ya nyongeza kwenye Bajeti ya Serikali ya mwaka 2024/25 kutoka Sh49.346 trilioni zilizoidhinishwa Juni ...
mkoani Morogoro wametiwa mbaroni na Jeshi la Polisi wakituhumiwa kuhusika na wizi wa nondo za ujenzi wa Shule ya Msingi ya Amali katika kijiji cha Kwipipa, kata ya Iyogwe wilayani humo. Mkuu wa Wilaya ...
Rais mstaafu Jakaya Kikwete yupo wilayani Bukombe kwa ziara ya siku moja, atahudhuria mkutano maalumu wa Chama cha Mapinduzi ...
MOROGORO ni miongoni mwa miji michache nchini yenye umaarufu kutokana na mchango wake kwenye harakati za ukombozi ...
SHEFFIELD FC ya England inatambuliwa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) kama klabu kongwe kuliko zote duniani ambayo ...
Katika mwaka uliopita huko Gaza, "zaidi ya watoto 600,000 – ambao wana umri wa kwenda shule - hawakupata elimu," anasema msemaji wa Unicef, Saleem Oweis. "Tunaona jinsi migogoro na ukosefu wa ...
Tangu 2007, Hamas imekuwa chombo cha kiutawala katika Ukanda wa Gaza. Ilishinda uchaguzi wa ... zaidi yanayopatikana katika Ukanda huo hadi ujenzi mpya ukamilike, lakini hakuna mtu anayepaswa ...
DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema serikali imelipa takribani Sh bilioni 254 ndani ya miezi miwili kwa wakandarasi mbalimbali wanaotekeleza miradi ya barabara na madaraja nchini ...
Vilevile kwa Shule ya Sekondari Ndalala matokeo yanaonyesha kati ya mwaka 2022 hadi 2024 wanafunzi 564 walipata daraja la nne na 322 walipata sifuri. Akizungumza leo Februari 10,2025 wakati wa mkutano ...
Thank you for reporting this station. We will review the data in question. You are about to report this weather station for bad data. Please select the information that is incorrect.
Thank you for reporting this station. We will review the data in question. You are about to report this weather station for bad data. Please select the information that is incorrect.