Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan, amesema pamoja na ukubwa wa chama hicho na matumaini ya ...
Kutoka Februari 5, 1977, CCM ilipozaliwa baada ya kuunganisha vyama vya Tanu na ASP hadi Februari 5, 2025, ni miaka 48 iliyotimia. Ni siku 17,532 zenye matukio makubwa ya kisiasa.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu. MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ameshauri serikali kuitisha Bunge la dharura kufanya ...
Bulembo ni muumini wa dhati kabisa wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na Mapinduzi ya Zanzibar, ni mzalendo na ni mwanasiasa mwenye siasa za kati. Anaonekana pia kuwa mwanafalsafa ambaye amegeuka ...
Umoja wa Ulaya umerejesha upya vikwazo vyake dhidi ya Urusi na kukubaliana juu ya ramani ya kuondosha baadhi ya vikwazo ulivyoiwekea Syria. Uamuzi huu ulifikiwa baada ya mkutano wa mawaziri wa ...
nchi 27 wanachama wa Umoja wa Ulaya walilaani kwa uwazi "uwepo wa wanajeshi wa Rwanda nchini DRC", waliwataka M23 "kujiondoa", na kuwatishia kuchukuwa vikwazo. Lakini tangu wakati huo, nchi za ...
Vita kati ya jeshi la Sudani (SAF) na Jeshi la Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) tangu mwezi Aprili 2023 vimeua makumi ya maelfu ya watu na kuwahamisha watu zaidi ya milioni 12, kulingana na Umoja ...
Muungano mkubwa zaidi wa vyama vya upinzani nchini Ujerumani umewasilisha bungeni hoja ya kubana zaidi sheria za uhamiaji ukisaidiwa na chama kinachochukuliwa kuwa cha mrengo wa mbali kulia.
Hakujawa na uthibitisho kutoka kwa jeshi la Kongo au serikali mjini Kinshasa kwamba mji huo mkuu wa mkoa wa Kivu Kaskazini umekamatwa na waasi. Muungano ... ndani ya mpaka. Umoja wa Mataifa ...
Amesema hayo katika mkutano na Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi. Muungano wa vyama tawala nchini Japani na serikali ya China wakubaliana kufanya kazi kuboresha uhusiano | NHK WORLD-JAPAN News ...
Hata hivyo, Makenga alianza kusigana na wakuu wake, alikamatwa na mamlaka za Rwanda baada ya kukataa amri ya kurudi Rwanda, ripoti ya Baraza la Usalama la Umoja ... muungano wa vikundi vya waasi ...
kulingana na Umoja wa Mataifa na serikali ya Congo. M23, ambalo linajumuisha kabila la Watutsi, wanasema wanapigania haki za wachache, huku serikali ya Congo ikisema waasi hao wanaungwa mkono na ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results