Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu. MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ameshauri serikali kuitisha Bunge la dharura kufanya ...
Baada ya kutajwa jina hilo, ukumbi ulilipuka shangwe, nderemo na vigelegele kutoka kwa wajumbe wa mkutano huo. Akisoma Azimio la Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM kuhusu uteuzi wa Makamu ...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan, amesema pamoja na ukubwa wa chama hicho na matumaini ya ...
Kutoka Februari 5, 1977, CCM ilipozaliwa baada ya kuunganisha vyama vya Tanu na ASP hadi Februari 5, 2025, ni miaka 48 iliyotimia. Ni siku 17,532 zenye matukio makubwa ya kisiasa.
GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amependa ushirikiano unaofanywa baina ya Kampuni Airpay Tanzania na Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar (ZEEA) katika kuwafanya ...
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA Amos Makalla amesema Soko la kisasa la Chuwini litaleta Mapinduzi makubwa ya kiuchumi kwa wananchi Zanzibar. Amesema hayo leo Ijumaa Januari ...
linaloungwa mkono na wanajeshi 3,000 hadi 4,000 wa Rwanda, kulingana na Umoja wa Mataifa, limekuwa likipambana na jeshi la Kongo katika eneo hilo kwa zaidi ya miaka mitatu. Lakini mapigano makali ...
Kiwango Kikubwa cha uharibifu uliosababishwa na vita Gaza kinaleta hatari kubwa kwa afya na mazingira umeonya leo Umoja wa Mataifa. Katika kukabiliana na changamoto hiyo kwenye Ukanda wa Gaza Umoja wa ...
Umoja wa Ulaya umerejesha upya vikwazo vyake dhidi ya Urusi na kukubaliana juu ya ramani ya kuondosha baadhi ya vikwazo ulivyoiwekea Syria. Uamuzi huu ulifikiwa baada ya mkutano wa mawaziri wa ...
Hakujawa na uthibitisho kutoka kwa jeshi la Kongo au serikali mjini Kinshasa kwamba mji huo mkuu wa mkoa wa Kivu Kaskazini umekamatwa na waasi. Muungano ... ndani ya mpaka. Umoja wa Mataifa ...
Pia ameonya kuhusu hatari kubwa ya ukatili wa kijinsia na unyanyasaji wa kingono. Pia Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kukomesha hotuba za chuki na mashambulizi ...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi amewasisitiza viongozi wa dini, wanasiasa na waandishi wa habari kutumia majukwaa yao kutoa kauli nzuri zenye kuleta umoja ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results