Vilevile anatazamiwa kutoa wito kwa kuondolewa mara moja kwa wanajeshi wa Rwanda katika maeneo ya Kongo ambayo wanakalia kinyume cha sheria, kufunguliwa tena kwa uwanja wa ndege wa Goma ili ...
ofisi ya rais wa Kongo tayari imetangaza madai yake: kusitisha mapigano mara moja, kuondolewa kwa vikosi vya M23 na Rwanda katika ardhi ya Kongo, kufunguliwa tena kwa uwanja wa ndege wa Goma ...
Katika mwaka uliopita huko Gaza, "zaidi ya watoto 600,000 – ambao wana umri wa kwenda shule - hawakupata elimu," anasema msemaji wa Unicef, Saleem Oweis. "Tunaona jinsi migogoro na ukosefu wa ...
Maisha yake yalianza katika Siku ya Krismasi mwaka 1973, alipozaliwa katika mji wa kijani wa Masisi, DRC. Alilelewa na wazazi wa kabila la Tutsi, na Makenga aliacha shule akiwa na umri wa miaka 17 ...
SERIKALI kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA imekabidhi madawati 295 yenye thamani ya Sh millioni 25.9 kwa shule za sekondari na msingi mkoani Simiyu. Hatua hiyo inalenga ...
Serengeti. Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa) limeanza matengenezo makubwa ya barabara muhimu inayotumiwa na watalii kuanzia Seronera hadi Robo. Aidha imeanza kukarabati uwanja wa ndege wa Seronera ...
SAKATA la mgogoro wa ardhi katika eneo la Shule ya Msingi na Sekondari Zavala, Kata ya Buyuni, jijini Dar es Salaam limechukua sura mpya baada ya baadhi ya wananchi kuamua kwenda mahakamani kufungua ...
SIKU chache baada ya Nipashe kuchapisha ripoti kuhusu madhila yanayowakumba wanafunzi na walimu wa Shule ya Msingi Lipumba kutokana na kujengwa jirani na makaburi, uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya ...
Geita. Baraza la Madiwani Manispaa ya Geita limekerwa na vitendo vya uhalifu vinavyofanywa na vikundi vya vijana wahalifu kujificha eneo lililotengwa kwa ajili ya uwekezaji Kata ya Bombambili kuvuta ...
tutakaa na wenyeviti wa bodi za shule za msingi na sekondari, walimu pamoja na wazazi na kujadiliana kuhusu changamoto zilizopo na kuzitafutia ufumbuzi,” amesema Chalamila. Naye Ofisa Elimu Taaluma ...
Katika mchezo huo wa Ligi Kuu uliopigwa kwenye Uwanja wa Sokoine jijini hapa, Ken Gold ilionekana kuwa imara wakiwapa wakati mgumu wapinzani hao ambao mara nyingi walifanya kazi ya kuokoa hatari. Sele ...
Dodoma ilikuwa inawahi kwenda Dodoma ili kuanza maandalizi ya mchezo ujao dhidi ya Simba utakaopigwa Februari 15 kwenye Uwanja wa KMC Complex, jijini Dar es Salaam. Nyundo alisema katika ajali hiyo ...