Nchini Japani, elimu ya lazima huanza mtoto anapofikisha umri wa miaka sita. Watoto wenye uraia wa kigeni wanaweza wakahudhuria shule za msingi za umma za Kijapani. Katika mfululizo huu ...
Wanafunzi wa shule ya msingi na sekondari ya chini wa kaya zenye kipato cha chini ya kiwango fulani wanastahiki kupokea msaada wa fedha kwa ajili ya gharama za shule. Msaada huo unaweza ukatumiwa ...
Waasi wa M 23 kwa mara ya kwanza wameandaa mkutano wa hadhara jijini Goma kuwatambulisha viongozi wake, baada ya kuingia katika jiji hilo wiki moja iliyopita na kusababisha makabiliano makali na ...
Vilevile anatazamiwa kutoa wito kwa kuondolewa mara moja kwa wanajeshi wa Rwanda katika maeneo ya Kongo ambayo wanakalia kinyume cha sheria, kufunguliwa tena kwa uwanja wa ndege wa Goma ili ...
Aidha mamia ya wengine nao walijeruhiwa huku maelfu wakikimbilia maeneo mengine ya nchi jirani. Mji huu ambao huwa na shughuli nyingi sasa umesalia mahame. Maduka mengi yamefungwa, shule ...
Katika mwaka uliopita huko Gaza, "zaidi ya watoto 600,000 – ambao wana umri wa kwenda shule - hawakupata elimu," anasema msemaji wa Unicef, Saleem Oweis. "Tunaona jinsi migogoro na ukosefu wa ...
Tryphon Kin-Kiey Mulumba, mwenyekiti wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga, alisema bado jeshi la Kongo lilikuwa ndilo linaloudhibiti uwanja huo wa ndege. Soma zaidi: M23 yatangaza kujiondoa vijiji ...
SERIKALI kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA imekabidhi madawati 295 yenye thamani ya Sh millioni 25.9 kwa shule za sekondari na msingi mkoani Simiyu. Hatua hiyo inalenga ...
Katika kusherehekea miaka 48 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga na Mjumbe wa Kamati Kuu, Rajabu Abdulrahaman, ametembelea katika Shule ya Sekondari Mgwashi ...
Maelfu ya watu bado hawana upatikanaji wa mahitaji ya msingi, ikiwemo chakula, maji, na dawa. "Uwanja wa ndege wa Goma ni tegemeo la maisha," Lemarquis amesisitiza. "Bila uwanja huu, uokoaji wa ...
Serengeti. Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa) limeanza matengenezo makubwa ya barabara muhimu inayotumiwa na watalii kuanzia Seronera hadi Robo. Aidha imeanza kukarabati uwanja wa ndege wa Seronera ...