Spika wa bunge la Marekani Mike Johnson, mwanachama wa Republican amesifia mpango wa Trump kuhusu Gaza anaosema unalenga kuleta amani ya kudumu katika Ukanda huo. Naye Chris Murphy, Seneta ...
Spika wa bunge la Marekani Mike Johnson, mwanachama wa Republican amesifia mpango wa Trump kuhusu Gaza anaosema unalenga kuleta amani ya kudumu katika Ukanda huo. Naye Chris Murphy, Seneta ...
Beatrice Asukul Moe na Katibu Mkuu wa EAC, Veronica Nduva ili kuhimiza nchi wanachama ambazo bado hazijalipa michango yao kulipa haraka ili kuwezesha Bunge kuendelea na shughuli zake. Spika ...
Spika wa bunge la kitaifa la Kongo, Vital Kamerhe, alisema tathmini ya kijeshi iligundua kuwa wanajeshi wa serikali na wanamgambo wanaoiunga mkono serikali bado wanashikilia maeneo fulani.
Bunge limeazimia Serikali kuandaa mfumo rasmi wa kisasa wa kidijitali kwa ajili ya utambuzi wa waendesha bodaboda ili kukabiliana changamoto za ajali na uhalifu. Bunge limeazimia hayo baada ya ...
BUNGE limepitisha Azimio la Kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Nishati Afrika (Misheni 300) hapa nchini. Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson alitangaza rasmi kwamba Bunge ...
Aidha, Waziri Mkuu amempongeza Spika wa Bunge Dk Tulia Ackson kwa kuandaa Tamasha la Michezo la Bunge Bonanza ambalo limewakutanisha wabunge na wanamichezo mbalimbali wa mkoani Dodoma. “Tamasha hili ...
SPIKA wa Bunge, Dk.Tulia Ackson amewaomba watanzania kuombea Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, ili wapatikane viongozi bora na wema watakaoongoza taifa liendelee kuwa na amani. Dk. Tulia alitoa rai hiyo ...
SPIKA wa Bunge, Dk.Tulia Ackson, ameridhishwa na majibu ya kitaalamu ... Mollel alitoa majibu hayo wakati akjibu swali la nyongeza, lililoulizwa na Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima. Dk ...
Rais wa kwanza wa Namibia huru, Sam Nujoma, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 95 katika mji mkuu wa Windhoek, kiongozi wa sasa wa nchi hiyo ametangaza. Abdalla Seif Dzungu na Rashid Abdalla ...
Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari kwenye mji mkuu wa Lebanon, Beirut, leo Jumamosi, Guterres amesisitiza changamoto na fursa zinazokikabili taifa hilo la Mashariki ya ... Mkuu wa muda ...
Baraza la Wawakilishi la Bunge la Ufilipino limepiga kura ya kumuondoa madarakani Makamu wa Rais Sara Duterte. Anashutumiwa kutumia vibaya fedha za umma na makosa mengine. Makamu wa Rais ni binti ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results