Katibu Mkuu wa Kongamano la Visiwa vya Pasifiki Baron Waqa amesisitiza umuhimu wa nchi wanachama wa kongamano hilo kujenga uhusiano na nchi mbalimbali akisema, “hatutaki kuegemea upande wowote.” ...
Kikosi cha Kujihami cha Ardhini cha Japani na Jeshi la Wanamaji la Marekani wanafanya mazoezi ya pamoja kusini magharibi mwa Japani ili kuimarisha ulinzi wa visiwa vya mbali vya Japani. Huu ni ...
Serikali ya mpito imewasilisha siku ya Ijumaa, Machi 14 ripoti ya mwisho ya kampeni ya mwaka jana ya tathmini ya vyama vya siasa. Matokeo: chama tawala cha zamani cha Rais aliyeondolewa madarakani ...
Kwa kila uhamisho wa pesa kupitia simu ya mkononi, kuna ushuru wa 1%. Vyama viwili vikuu vya kisiasa vya Mali, Yelema na M5RFP-Mali Kura, vimetoa wito katika taarifa ya pamoja ya kukomeshwa moja ...
Mamlaka za afya nchini Tanzania zimethibitisha kuwepo kwa visa viwili vya ugonjwa wa Mpox baada ya watu wawili kugundulika kuwa na maambukizi hayo. Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Afya imeeleza ...
Urusi iko tayari kusitisha mapigano, anasema Vladimir Putin, lakini "kuna masuala kadhaa madogo yanayopaswa kuwekwa wazi. Masuala aliyoyataja kabla ya mazungumzo na wajumbe wa Marekani huko ...
It has several luxurious hotels, including Visiwa Beach Resort, Bamba Kofi Tented Camp, and The Mida Creek Hotel. They offer delicious local seafood and other activities such as boat cruises and ...
Mingine ni Tanga, Morogoro, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Mtwara, Lindi, Rukwa, Mbeya, Iringa, Songwe, Njombe na Ruvuma pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba. "Kiwango cha athari ...
Moja ya boti tano za dharura zilizozinduliwa kutoa huduma za afya katika visiwa vidogovidogo Zanzibar “Lengo la serikali ni kuhakikisha wagonjwa wanafikishwa katika huduma kwa wakati, ili kupunguza ...
Katika bara la Asia na Pasifiki, mchango huo utasaidia kuboresha mifumo ya kupunguza hatari ya maafa na mifumo ya tahadhari mapema, hasa katika nchi kama Visiwa vya Marshall, Fiji, na Papua New Guinea ...
MTWARA: MAMLAKA ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) na wadau mbalimbali wamefanya ziara mkoani Mtwara katika visima vya gesi asilia vya Mnazi Bay Madimba na Chuo cha Ualimu kinachonufaika ...