Kisha Wareno wakaja katika karne ya 16 na kuteka bandari zote za pwani ya Afrika Mashariki, ikiwemo Mombasa, pamoja na visiwa vya Zanzibar na sehemu za pwani ya Arabuni, ukiwemo mji mkuu wa Oman ...
Wachoraji visiwani Zanzibar walia na gharama za kupata maeneo ya kunadi kazi zao za Sanaa hiyo, Ungana na Steven Mumbi katika ...
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imeeleza mikakati inayochukua kukabiliana na ugonjwa wa homa ya nyani (Mpox) ikiwa ni pamoja na ufuatiliaji wa magonjwa katika vituo vya afya na ...
Zanzibar inakabiliwa na changamoto za kimazingira, ikiwa ni pamoja na kuongezeka kwa kina cha bahari, uvamizi wa maji ya ...
Licha ya ukubwa na umaarufu wa mchezo huu lakini katika visiwa vya Zanzibar ni marufuku mchezo wa ndondi kuchezwa pamoja aina nyingine za sanaa za mapigano. Katazo la mabondia kutokupiga lilianza ...
ZANZIBAR: Benki ya Stanbic Tanzania (SBT) na Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) zimeungana kwa pamoja kuiwezesha Serikali ya ...
Taarab Asilia ni Miongoni mwa Miziki ya kale zaidi katika Mwambao mwa Bahari ya Hindi, Zanzibar Taarab Hertage Ensemble ni ...