Wiki iliyopita, Zanzibar iliadhimisha Siku ya Sheria, kama ilivyofanyika Tanzania Bara na katika mataifa mengi duniani.
Maalim aliteuliwa kuwa kushika wadhifa huo kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) visiwani humo, baada ya kuibuka mshindi ...
MTANDAO wa Wanaharakati wanaopinga usafirishaji haramu wa binadamu (TANAHUT), umetaja mikoa inayoongoza kwa biashara hiyo huku visiwa vya Zanzibar na Dar es Salaam, ikiongoza. Akizungumza jana jijini ...
na visiwa vya Zanzibar. Afrika Kusini ni mwekezaji mkubwa nchini Tanzania, hasa katika sekta za kilimo, madini, kemikali, na mashine. Uzinduzi wa safari hizi unatarajiwa kukuza zaidi ushirikiano wa ...
Waziri Mkuu wa Mauritius, Navin Ramgoolam amesema siku ya Jumanne kwamba amefikia makubaliano mapya "tayari kutiwa saini" na Uingereza juu ya udhibiti wa Visiwa vya Chagos, visiwa vya kimkakati ...
Inasema visiwa hivyo vilitwaliwa kinyume cha sheria baada ya Vita Vikuu vya Pili vya Dunia. Katika tukio hilo la jana Ijumaa, Kudo Shigeshi mwenye umri wa miaka 85, ambaye alikuwa mkazi wa Visiwa ...
Hii ni sehemu ya jitihada zinazofanywa na Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii na TAWA kuunganisha Zanzibar na vivutio vya utalii vilivyopo mikoa ya Tanzania Bara ikiwa ni hatua muhimu ...
Kuhusiana na hatua za China, Ishiba alisema viongozi hao walithibitisha kuwa Kipengele Namba Tano cha Mkataba wa Usalama wa Japani na Marekani kitatumika katika Visiwa vya Senkaku mkoani Okinawa.
Hata hivyo, RSF imekanusha maendeleo yoyote kwa upande wa jeshi. "Leo (Jumatano), vikosi vya RSF vimefanikiwa kuondoa vitengo vya jeshi na brigedi washirika wao walipokuwa wakijaribu kujipenyeza ...
Kwanza, China haina mikakati ya kutosha ya kuingia katika vita vya kiuchumi ukilinganisha na ushuru wa asilimia 10 unaotozwa na Trump kwa bidhaa za China zinazoingia Marekani. Marekani ndiyo ...
Maelezo ya picha, "Rais Paul Kagame wa Rwanda anasema anapigana na vikundi vya waasi vinavyohusiana na mauaji ya kimbari." Katika mgogoro huu, kiongozi wa muda mrefu wa Rwanda, Kagame, ndiye ...
Mchengerwa ametoa agizo hilo katika hafla ya utiaji saini wa mkataba wa ujenzi wa Soko Kuu la Majengo na vituo vya daladala jijini Dodoma kupitia mradi wa uboreshaji miundombinu ya Miji (TACTIC) awamu ...