Kuhusu Vitongoji 105 ambavyo havijapata umeme Wilaya ya Nanyumbu, Kapinga amesema hivi sasa Serikali inatekeleza miradi mbalimbali ya kupeleka umeme kwenye Vitongoji ikiwemo Vitongoji 15 kwa Mbunge na ...
“Watendaji wa vijiji, vitongoji na mitaa, msione haya kuwachukulia hatua watu ambao watatumia vyandarua hivi vya serikali kwa matumizi yasiyo sahihi na sisi pia tutafanya ufuatiliaji kaya kwa kaya,” ...