Majadiliano na wadau hao wa Sekta ya utalii yaliwahusisha wawakilishi kutoka TAWA ambayo iliwakilishwa na Kamishna Msaidizi ...
Balozi Kombo alimweleza Sheikh El Amin kuwa kwa sasa vipaumbele vya uwekezaji ndani ya Zanzibar ni ... alisema Zanzibar ina vivutio vingi na maeneo mbalimbali ya uwekezaji na kusema kuwa yupo tayari ...
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla amesema filamu ya The Tanzania Royal Tour imechangia sekta ya utalii kuchangia pato la taifa kwa asilimia 30 huku ...
Tangu ameingia madarakani, tuzo mbalimbali zimemiminika kwa Rais Samia kwenye sekta za utalii, miundombinu, utawala bora na ...
Aidha, jiji hili linahudumu kama lango la vivutio maarufu vya utalii, likiwemo Hifadhi ya Serengeti, Mlima Kilimanjaro, na visiwa vya Zanzibar. Afrika Kusini ni mwekezaji mkubwa nchini Tanzania, hasa ...
Wiki moja baada ya kuanza kwa mashambulizi ya M23, yakiungwa mkono na wanajeshi wa Rwanda, dhidi ya mji wa Goma, mji mkuu wa mkoa wa Kivu Kaskazini mashariki mwa DRC, vilabu vitatu vikubwa vya ...
Ilikuwa mchoraji na mchongaji Winstanley, ambaye alivutiwa na vifaa vya mitambo na majimaji. Katika miaka ya 1690 alifungua jumba la maonyesho la maji la hisabati huko London, lililojaa vivutio ...
Akaunti zenye ushawishi zinazohusishwa na vikundi vya kisiasa zilisambaza picha na video za uongo ili kusukuma mbele ajenda zao, kuleta mkanganyiko miongoni mwa jamii za wenyeji na waangalizi wa ...
Kupitia kazi yake, mandhari ya kuvutia ya Tanzania yaliwasilishwa kwa ubora wa hali ya juu, jambo ambalo linatarajiwa kuongeza mvuto wa utalii nchini. “Ilikuwa safari ya kipekee kushiriki katika ...