Alisema katika kutatua changamoto hiyo kukawa na makubaliano kuwa meli hizo zitahudumiwa na Shirika la Bandari Zanzibar (ZPC) ambapo hilo halijatokea kwa Bandari tu hata viwanja vya ndege ambapo ndege ...
Sherehe za sikukuu, mbali na kutoa fursa kwa watoto kucheza na kufurahi, pia ni wakati mzuri wa kutoa mafunzo kuhusu ...
Ukuaji wa pato la Taifa Tanzania unatarajiwa kuongezeka hadi kufikia asilimia 6 mwaka huu kutoka asilimia 4.7 mwaka 2022, huku uwezeshaji wa biashara, utengenezaji wa mazingira rafiki ...
SHEIKH Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Walid Alihad, amesema maendeleo ya jamii yoyote yanategemea uchumi na uwekezaji .
Marekani inaishawishi Urusi ikubali kumaliza mzozo na Ukraine. Rais Putin wa Urusi amesema mzozo huo utakoma kwa masharti, masharti ambayo yanakosolewa na Ukraine.
Mapigano pia yamekwamisha usambazaji wa misaada ya kiutu kwani Uwanja wa ndege wa Kavumu jimboni Kivu Kusini ... za mashinani na kuchelewesha malipo kwa wasambazaji wa huduma. Vituo vya afya ...
MKUU wa Mkoa wa Geita, Martine Shigela ametangaza kuwa milango ipo wazi kwa wadau mbalimbali kuanza ujenzi wa mabanda ya kudumu katika viwanja vya Maonyesho ya Madini (Viwanja vya Samia) mkoani humo.
Twelve years ago, Martin Kirimi and Mary Mwangi set off on their dream honeymoon to Zanzibar but never returned The newlyweds, last heard from at the Namanga border, vanished without a trace, leaving ...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kufungia viwanja vitatu kutumika kwa michezo ya ligi kutokana na kukosa vigezo vya kikanuni na kisheria vinavyotakiwa kutumika kwa Ligi Kuu.
Wafanyabiashara pia wanaweza kutangaza bidhaa kupitia mitandao ya kijamii ili kuwafikia mashabiki wengi zaidi wanaotafuta vifaa vya ushabiki mtandaoni. Wakati wa Dabi ya Kariakoo idadi ya watu ...
Canada husafirisha ngano, magari na sehemu za spea na vipuli vya ndege kwenda Rwanda. Shirika lake la ndege la taifa la RwandAir linatumia ndege nne za Bombardier. Makampuni ya Canada yanafanya ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results