KATIBU Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Khamis Abdallah Said, amewataka wanafunzi wa kike kuchangamkia fursa za kimasomo zinazotolewa na serikali badala ya kuharakia ndoa. Aliyasema ...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali vu Mwinyi amesema Serikali itaendelea Kuimarisha ...
Ameongeza kuwa ucheleweshaji wa utekelezaji wa maamuzi ya sera umesababisha kuendelea kwa vikwazo visivyo vya kiforodha (NTBs ...
SERIKALI imetangaza kuanza kwa Sensa ya Uzalishaji Viwandani mwaka huu, ikiwa ni mara ya tano kufanyika nchini ...
VARNER IS THE CO-OWNER OF ZANZIBAR TRADING COMPANY. THE STORE WORKS WITH ARTISANS FROM AROUND THE WORLD TO SELL FAIR TRADE IMPORTS. BUT THE PAST TWO YEARS HAS MADE IT DIFFICULT TO STAY IN BUSINESS.
Kwa kila uhamisho wa pesa kupitia simu ya mkononi, kuna ushuru wa 1%. Vyama viwili vikuu vya kisiasa vya Mali, Yelema na M5RFP-Mali Kura, vimetoa wito katika taarifa ya pamoja ya kukomeshwa moja ...
Ripoti inabainisha asilimia 22.3 ya wahitimu wa vyuo vikuu ndio waliopata nafasi ya kuajiriwa katika sekta rasmi, huku nyingine zikijazwa na wahitimu wa vyuo vya kati, ufundi, shule za sekondari, ...
Rais wa Marekani Donald Trump amesema atapunguza ufadhili kwa vyuo vikuu vinavyoruhusu maandamano "haramu," kuwashtaki na kuwafukuza wanafunzi wa kigeni wanaoshiriki. Kwenye jukwaa lake la mtandao ...
Maelezo ya picha, Kiingereza kinafundishwa karibu katika shule zote nchini Marekani, huku katika Vyuo Vikuu, hii imekuwa lugha rasmi ya kufundishia kwa miaka mingi Marekani haikuwa na lugha rasmi ...
Ikumbukwe vyuo vikuu na taasisi mbalimbali za elimu zilifunguliwa kuanzia jana ili kutoa nafasi kwa wanafunzi wa mwaka wa mwisho wanaosomea kozi mbalimbali.
MRATIBU wa malipo ya kielektroniki kutoka Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) Josephine Joseph, amesema wamepiga hatua katika suala la uhawilishaji na kusaidia kaya maskini nchini kwa kufikia ...
Aidha, Kipesha amesema kuna mpango maalum wa kuwawezesha wanafunzi wa kike kujiunga na michepuo ya sayansi katika vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu, ili kuongeza ushiriki wa wanawake katika nyanja ...