Kesi hiyo imepangwa kutajwa tena Machi 11, 2025 kuangalia kama Serikali imewasilisha majibu na pia kama wachezaji hao ambao ...
TANGU ilipofanyiwa marekebisho mwaka 1992, Ligi Kuu England (EPL), imekuwa nyumbani kwa wanasoka bora na wakubwa wa wakati ...
KWA miaka ya hivi karibuni sasa kumekuwa kama kuna utamaduni hivi wa baadhi ya timu kuhitaji sare tu zikicheza dhidi ya Simba ...
Aliitumikia Manchester United kwa mkopo katika msimu wa 2023/2024 na kushindwa kuishawishi ibaki naye moja kwa moja.
KOCHA Mkuu wa Simba, Fadlu Davids amesema licha ya wachezaji kuwa katika fomu nzuri ya ushindani, lakini amegoma kuwapa ...
Wastani wa magoli kutoka kwa mashabiki wa BBC Spoti, wachezaji wanne wa Ralph Hasenhuttl wameingia kwenye timu ya wachezaji 10 bora huku wachezaji wa Southampton wakichaguliwa katika kila kitengo.
Si mara ya kwanza kusikia taarifa za aina hii, za wachezaji wa mataifa ya Afrika hasa Afrika Mashariki kusotea maslahi yao na wakati mwingine kusitisha ndoto zao za kucheza nje, kwa sababu ya ...
Kwa kawaida unapotua jijini Nairobi kwa mgeni au mwenyeji, hali ya joto ni zaidi ya nyuzi joto 20, lakini kuna sehemu moja ...
TIMU ya kuogelea ya Dar es Salaam imepania kufanya vizuri katika mashindano ya kimataifa yatakayofanyika  Kenya Februari ...
Kenya ipo tayari kuandaa makala ya 56 ya mashindano ya kimataifa ya gofu ya Magical Kenya Open baadaye mwezi Februari, ...
Ajali hiyo imetokea leo Februari 10, 2025 ambapo kikosi hicho kilikuwa kikitokea Ruangwa mkoani Lindi kurejea mkoani Dodoma, ...