Ukitaja wasanii watano wakubwa wa kuimba Tanzania wanawake wapo. Ukitaja waigizaji wakubwa wa filamu Tanzania wanawake wapo.
Sina lengo la kumshushia mtu heshima ukweli mchungu ni lazima usemwe. Wasanii wa hip hop wa Tanzania ni vichwa kuliko ...