Kwa mara ya kwanza, Tanzania inatarajia kuanzisha tuzo za kutambua na kuthamini mchango wa wasanii katika tasnia ya vichekesho (uchekeshaji) chini ya usimamizi wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) na ...
Weusi katika Hip Hop wanajifananisha na Cristiano Ronaldo, mshambuliaji wa Ureno ambaye bado anacheza soka la kulipwa huko huku Saudi Pro League katika klabu ya Al Nassr FC licha ya kufikisha umri wa ...
STAA wa Bongo Movie, Kajala Masanja ameshindwa kuvumilia na kutupa jiwe kizani kwa kusema ni ushamba kwa wasanii wa muziki kuwatungia nyimbo za majungu wasichana wanaoachana nao kimapenzi (ma-x).