MWIMBAJI mahiri wa muziki wa Injili, Christina Shusho amefichua ana kipaji kingine zaidi ya cha uimbaji kinachojulikana na ...
SINA lengo la kumshushia mtu heshima; ukweli mchungu ni lazima usemwe. Wasanii wa hip hop wa Tanzania ni vichwa kuliko wanaofanya muziki wa kuimba a.k.a wasanii wa Bongofleva kama tulivyozowea kuwaita ...
Balozi wa Tanzania katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo,Said Mshana, amempokea Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika, Moussa Faki Mahamat, aliyewasili nchini Tanzania alfajiri ya Februari 8, ...
Dar es Salaam. Zaidi ya kampuni tano za kigeni kutoka Ufaransa na Misri, pamoja na wawekezaji wa ndani ya Tanzania, wameonyesha nia ya kuwekeza katika usafirishaji wa nyaya (cable). Ili kufanikisha ...
Utafiti huo uliofanywa na Chama cha Wataalamu wa Kifafa Tanzania (TEA) umeonesha pia kupungua kwa waathirika wapya, kutoka zaidi ya 73 hadi kufikia 50 kwa kila watu 100,000 kwa mwaka. Hayo yamesemwa ...
viwango hivyo vinaongezeka kwa 1% kwa mwaka kwa ujumla - na 1.4% kwa mwaka kwa wanawake walio chini ya umri wa miaka 50. Kulingana na uchunguzi wa epidemiological, inaonekana kwamba hali hii ...
Tangu 2007, Hamas imekuwa chombo cha kiutawala katika Ukanda wa Gaza. Ilishinda uchaguzi wa ... Zaidi ya watu 47,540 wameuawa, wengi wao wakiwa wanawake na watoto, kulingana na wizara ya afya ...
Familia nyingi, hasa wanawake wa Darayya, wameonesha shukrani, wakisema kuwa hii ilikuwa mara yao ya kwanza kusikilizwa. Quintana ameeleza ukubwa wa janga hili, akibainisha kuwa zaidi ya miaka hamsini ...
Thank you for reporting this station. We will review the data in question. You are about to report this weather station for bad data. Please select the information that is incorrect.
Thank you for reporting this station. We will review the data in question. You are about to report this weather station for bad data. Please select the information that is incorrect.