MKUU wa Mkoa wa Tanga Balozi, Dk. Batilda Burian, amesema ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan, itaanza Februaru 23, mwaka huu, ...
Mwezi wa mapenzi umefika! Mauzo ya maua, chokoleti, mapambo na huduma za migahawa yanazidi kupanda huku wapenzi wakijiandaa ...
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Dk. Batilda Burian, amewataka wananchi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye ...
Waziri wa Afya, Jenista Mhagama, Mkutano wa 74 wa Mawaziri wa Afya wa Jumuiya ya Afya ya Nchi za Afrika Mashariki,Kati, na ...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za pole kwa Rais wa Namibia na wananchi wote kufuatia kifo cha Rais wa ...
DAR ES SALAAM: RAIS Samia Suluhu Hassan amesikitishwa na kifo cha Rais Muasisi wa Taifa la Namibia, Dk Sam Nujoma kilichotokea jana usiku akiwa amelazwa hospitalini. Kupitia kurasa zake za mitandao ya ...
Serikali ya Tanzania chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan tumefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuweza kukabiliana na dharura za afya na kuimarisha udhibiti dhidi ya magonjwa ya mlipuko,” amesema ...
Katika mkutano huo, Rais wa Tanzania amewataka wenzake wa nchi za SADC na EAC kutafuta suluhu la utovu wa usalama ... Aidha rais Samia amesema ni wakati wa mataifa ya Afrika kutatua changamoto ...
“History will judge us harshly if we remain still and watch the situation worsen, day by day,” Tanzania’s President Samia Suluhu Hassan said at the opening ceremony. The first-ever summit of ...
kwenye mtandao wa kijamii wa X. Rais wa Colombia, aliyeingia madarakani mwaka 2022 akiwa na ajenda kabambe ya mageuzi ya kijamii, amewasuta takriban mawaziri wake wote kwa kukosa maendeleo katika ...
Tanzania’s Samia Suluhu stated that the joint summit presents an opportunity for them to address security challenges facing our nations.