MKUU wa Mkoa wa Tanga Balozi, Dk. Batilda Burian, amesema ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan, itaanza Februaru 23, mwaka huu, ...
Rais wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amefanya kazi kubwa ya kuing'arisha Chamwino kwa kutatua changamoto mbalimbali za wananchi wa Jimbo hilo. Hayo yamebainishwa leo Februari 02, 2025 na Naibu Wa ...
Mwezi wa mapenzi umefika! Mauzo ya maua, chokoleti, mapambo na huduma za migahawa yanazidi kupanda huku wapenzi wakijiandaa ...
Makamu huyo wa zamani wa rais, aliyechukua nafasi ya Rais John ... Katibu Mkuu wa CCM Emmanuel Nchimbi ameteuliwa kuwa mgombea mwenza wa Samia Suluhu Hassan. "Hatuna wagombea mbadala kwa mwaka ...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amepokewa na wakazi wa Dodoma baada ya kutunukiwa tuzo ya Gates Goalkeeper huku akisema tuzo hiyo ni ya wahudumu wa sekta ya afya na Watanzania wote.
Tuzo hiyo hutolewa kwa viongozi waliowezesha nchi zao kuharakisha maendeleo kuelekea kufikia malengo ya maendeleo endelevu.
Waziri wa Afya, Jenista Mhagama, Mkutano wa 74 wa Mawaziri wa Afya wa Jumuiya ya Afya ya Nchi za Afrika Mashariki,Kati, na ...
Serikali ya Rwanda inashutumu muungano wa vikosi vya kimataifa vinavyopigana mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ...
DAR ES SALAAM: RAIS Samia Suluhu Hassan amesikitishwa na kifo cha Rais Muasisi wa Taifa la Namibia, Dk Sam Nujoma kilichotokea jana usiku akiwa amelazwa hospitalini. Kupitia kurasa zake za mitandao ya ...
Hatua hii pia inakuja baada ya Jumapili ya wiki iliopita, Chama tawala cha CCM kwa kauli moja kumteua rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wake wa Urais. Samia aliingia madarakani mwaka wa 2021 ...