Waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda sasa wanaudhibiti na kuuendesha mji wa Goma ambao ndio mkubwa na muhimu zaidi katika eneo la mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC). Mji wa Goma ...
Viongozi hao licha ya kutofafanua kuhusu ujumbe wa mawaziri wa Ulinzi na wakuu wa majeshi, wametoa salamu za rambirambi kwa DRC, Malawi, Afrika Kusini, na Tanzania kuhusiana na wanajeshi ...
Amesema kabla ya kupewa heshima hiyo, Nujoma alikuja Tanzania wakati huo bado hajawa Rais, akiwa yupo kwenye harakati za kudai uhuru, ndipo Mwalimu Nyerere akampa heshima hiyo. "Mwalimu alikuwa ...
Sam Nujoma. “Mpigania uhuru, Mwana-Pan-Africanist, na rafiki wa dhati wa Tanzania ambako aliwahi kuishi wakati wa harakati za uhuru wa Namibia. Dk. Nujoma aliishi maisha ya kujitoa kwa huduma, ambayo ...
Sam Nujoma. “Mpigania uhuru, Mwana-Pan-Africanist, na rafiki wa dhati wa Tanzania ambako aliwahi kuishi wakati wa harakati za uhuru wa Namibia. Rais wa Namibia, Dk. Nangolo Mbumba, amesema nchi hiyo ...
Moja ya alama kubwa ni kupigania uhuru wa Namibia na kufanikiwa kumuondoa mkoloni madarakani na kuwa Rais wa kwanza na Baba wa Taifa wa Taifa hilo mwaka 1990 hadi 2005. Kabla ya kuwa Rais wa Taifa ...
Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii, Rais Samia ameandika: “Mpigania uhuru, Pan-Africanist na rafiki mpendwa wa Tanzania ambako aliwahi kuishi wakati wa harakati za kupigania uhuru wa Namibia, ...
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA), Jabir Bakari amesema katika taarifa ... “Iimarishe udhibiti wa uhuru wa mitandao kwa kuzingatia umuhimu wa demokrasia yenye mipaka.
Wanajeshi wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wametumwa chini ya mwavuli wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), kambi ya kikanda inayofanya kazi mashariki mwa ...
Mkutano huu ambao umethibitishwa na rais wa Kenya, William Ruto, ambaye ni mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, unakuja siku kadhaa kupita tangu viongozi wa jumuiya hizo kwa nyakati tofauti ...
Katika uamuzi wake, Mahakama ya Afrika ilibaini kuwa Tanzania ilikiuka haki ya kuishi inayolindwa chini ya Kifungu cha 4 cha Mkataba wa Afrika, marufuku ya mateso, kutendewa kinyume cha ubinaamu na ya ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results