Nafasi hiyo, mbali na anayeshika kuwa msaidizi wa Mwenyekiti upande wa Tanzania Bara, pia ina uzito wa kipekee uliowekwa na kanuni za Maadili na Uongozi za CCM, zinazomtambua kuwa ndiye Mwenyekiti wa ...
Balozi Nchimbi amesema kuwa ushirikiano mzuri kati ya Tanzania na Ethiopia umebebwa kwenye misingi imara ya itikadi za kisiasa iliyowekwa na waasisi wa nchi hizo mbili, akitoa wito kuwa uongozi wa ...
Mwenyeji wa mkutano huo Zimbabwe ilionyesha wasiwasi kwamba mzozo unaoendelea DRC unaweza kuwa na athari kwa nchi wanachama. Wanajeshi kadhaa kutoka Afrika Kusini, Malawi na Tanzania wameuawa ...
Maji na umeme vimeanza kurejea, ingawa mabaki ya vilipuzi visivyolipuliwa yanaendelea kuwa “kikwazo kikubwa kwa uhuru wa watu kutembea na kusafiri. Umoja wa Mataifa una ujumbe wa kulinda amani nchini ...
Among our headlines covered today was the news that thousands of WA households remained in the dark after extreme weather sparked a spate of pole-top fires and bushfires. It was a crisis seized on ...
Kichwa kinauma kila unapojaribu kujadili suala la wachezaji watatu wa Singida Black Stars kupewa uraia wa Tanzania kwa sababu ya kucheza soka nchini. Hawa sio watalii waliofika uwanja wa ndege wa ...
The World Bank has cancelled a $150 million project to boost tourism to Tanzania’s Ruaha National Park, following allegations of human rights abuses by park authorities. Under the Tanzanian ...
Freeman Mbowe, ambaye amekuwa Mwenyekiti wa chama hicho kwa kipindi cha miongo miwili, kupitia mtandao wake wa X zamani ukiitwa Twitter amempongeza mrithi wake na mkamu wake wa zamani Tundu Lissu ...
This virus has recently resurfaced in Tanzania, infecting nine people and claiming the lives of eight. World Health Organization (WHO) chief Tedros Adhanom Ghebreyesus has expressed concern over the ...
Vilevile anaiomba Mahakama itamke kuwa, mwenendo wote wa shauri hilo tangu siku ya kwanza mpaka ulipoishia umegubikwa na nia ovu, uzembe na upendeleo unaothiri haki ya uhuru wa mteja wao ... ya ...
Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba (kushoto) na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emanuel Tutuba wakionyesha mfano wa noti mpya za Tanzania zitakazongia kwenye mzunguko kuanzia Februari mosi, ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results