MAHAKAMA ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza imemhukumu Lucas Maselele ,56, mkazi wa kijiji cha Lugata kutumikia ...
Baada ya miaka miwili ya mzozo, Sudani sasa inakabiliwa na janga kubwa na baya zaidi la kibinadamu duniani. Hivi ndivyo Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limebainisha siku ya Alhamisi ...
MKUU wa Wilaya ya Kahama, Mboni Mhita, amewatangazia kiama wananchi wanaohujumu miundombinu ya maji kwa kuiba dira zake na kwenda kuuza kama chuma chakavu. Amesema vitendo hivyo vinasababishia hasara ...
JESHI la Polisi wilayani ya Tarime limelazimika kutumia mabomu ya machozi kutawanya wananchi wa Koo za Wakira na Waanchari waliokuwa wameanzisha mapigano ya wenyewe kwa wenyewe wakigombea ardhi. Mkuu ...
Ofisa Kilimo na Mifugo wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida, Adam Sungita akitoa ufafanuzi kuhusu ushirikishwaji wananchi katika bajeti. Dodoma. Serikali imelalamikiwa kutowashirikisha wakulima kwenye ...
Muonekano wa kituo kikuu cha uokoaji na ufuatiliaji kinachojengwa Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza na nchi ya Tanzania, Uganda na Kenya kwa uratibu wa Kamisheni ya Bonde la Ziwa Victoria (LVBC). Mwanza ...