MAHAKAMA ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza imemhukumu Lucas Maselele ,56, mkazi wa kijiji cha Lugata kutumikia ...
Uamuzi huo wa kubomoa madarasa mabovu ambayo ni mawili, unakuja baada ya wananchi hao kutakiwa kuchanga Sh2,000 kila mmoja ...
Baada ya miaka miwili ya mzozo, Sudani sasa inakabiliwa na janga kubwa na baya zaidi la kibinadamu duniani. Hivi ndivyo Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limebainisha siku ya Alhamisi ...
Hii ilichukua hatua ya Rais wa zamani wa Nigeria Olusegun Obasanjo kuwaleta Raila na Ruto kwenye meza ya mazungumzo. Hili lilipelekea kuundwa kwa timu ya pande mbili - NADCO - ambayo iliunda ...
Leo Machi 12, chombo cha SpaceX, kitaanza safari ya wanaanga wa kundi la 10 kwenda kwenye kituo cha anga za mbali kikiwa na chombo Dragon. Uzinduzi wa safari hiyo utafanyika kutoka Kituo cha Anga ...
MKUU wa Wilaya ya Kahama, Mboni Mhita, amewatangazia kiama wananchi wanaohujumu miundombinu ya maji kwa kuiba dira zake na kwenda kuuza kama chuma chakavu. Amesema vitendo hivyo vinasababishia hasara ...
JESHI la Polisi wilayani ya Tarime limelazimika kutumia mabomu ya machozi kutawanya wananchi wa Koo za Wakira na Waanchari waliokuwa wameanzisha mapigano ya wenyewe kwa wenyewe wakigombea ardhi. Mkuu ...
Wakati wa ukoloni, ligi ilichezwa kwa ngazi ya wilaya tu, yaani kila wilaya ilikuwa na ligi yake, isipokuwa kwa wilaya chache zilizoshindwa kuandaa ligi zao basi zilishiriki ligi za wilaya za majirani ...
February 26th Slime Ya HB, also known as National Backdoor Day, refers to memes and jokes in which TikTokers joke about getting backstabbed or "slimed" by their friends or "homeboys" on February 26th, ...