Raia wawili waliuawa hadharani: mmoja katika wilaya ... za kimataifa za kibinadamu. Tangu M23 ilipochukuwa udhibiti wa mji wa Bukavu tarehe 15 Februari, mashirika ya kiraia katika mkoa wa Kivu ...
Vijana walioajiriwa kwa mkataba na Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) kupitia programu ya Jenga Kesho Iliyobora (BBT) wamepewa ...
Alisema kuwa mamlaka yapo kwa Rais na "majaji wa mahakama ya wilaya pekee hawawezi ... ya Tigray kimeteka ofisi za meya na chombo cha habari cha redio cha mkoa huo, Mekelle, kukiwa na hofu ya ...
Ili kuhakikisha vijana wanatumia vema fursa zilizo mbele yao, Taasisi ya Mulika Tanzania imeanzisha mpango wa kuwawezesha kiuchumi katika wilaya nne za Mkoa wa Dodoma kupitia mafunzo maalumu ...
MECHI ya watani wa ... wilaya chache zilizoshindwa kuandaa ligi zao basi zilishiriki ligi za wilaya za majirani zao. Ligi ya kwanza ilikuwa ya wilaya ya Dar ya Dar es Salaam, iliyoanza mwaka 1929.
Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Victoria Mwanziva, ameendelea na ziara yake ya kata kwa kata ndani ya wilaya hiyo, akifanya ukaguzi wa miradi ya maendeleo na kusikiliza changamoto za wananchi kwa lengo la ...
kwa mkoa wa Morogoro , Mhandisi Mwasalyanda amesema jumla ya minara 69 itajengwa katika kata 65 zenye vijiji 169 vya wilaya saba za mkoa huo. Mhandisi Mwasalyanda amesema kupitia miradi hiyo, wakazi ...
Daktari wa klabu ya Pamba Jiji, Joseph Chacha amesema wachezaji wako sawa kiafya baada ya ajali ya gari iliyotokea leo mkoani ...
kwenye kambi ya mkoa wa nne wa kijeshi. Miili ilipelekwa huko na mpaka sasa hivi, hatujui miili hii ilikwenda wapi, kwa sababu mpaka sasa, kuna wazazi ambao hawana habari za watoto wao ...